FuturePresident
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 321
- 54
Inaonekana utamimlo kwao ilikuwa ni hadithi japo ni maskini
Inaonekana utamimlo kwao ilikuwa ni hadithi japo ni maskini
Kwa wale tuliokulia uswazi hali hii hatukuipitia, tulikuwa na nafuu fulani! Ila kwa wale waliokulia bushi hali ilikuwa kama hivi!
Wewe ni huyu hapa umeshajiona?
View attachment 27547
Dudu za kiume kuonekana katika jamii sio ishu,,ila za kike zinafichwa sijui kwanini.
hapo kwenye red naona pananichukua muda kupaelewa
Preta anamaana pamoja na kuwa na maisha duni lakini lishe ipo maana wamenawiri !
umenivunja mbavu zangu kwa kucheka!!!!!!!!!!!!!!!!Huyo mwenye gauni la blue ni anna makinda!
Wewe ni huyu hapa umeshajiona?
View attachment 27547