Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

Dah,utani wa aunt yako ndio unafanya akusumbue,kweli genye si mchezo!
 
siku hizi hizi mada za kutembea na watu wa karibu,zimeenea shindweni msituletee nuksi
 
Wewe kaka yake .ni wakiume au mwanaume...? Unatofauti gani wanaume wengine akupe wewe kaka binamu tena kwa siri?
 
piga mzigo,usisite,ni haki yako,mbona kwenye bible jacob alimuoa mtoto wa mjombake?tena wawili wa baba mmoja.???piga mambo achu kujiuliza wala kusita,all the best
 
Mwambie wazi, wewe na yeye ni ndugu,huwezi kumfanya chochote na akiendelea kukusumbua utawa_foward_ia msg zake Ndugu zenu wote, na Shangazi akiwemo.
 
Jidai unaumwa ili usiende otherwise na wewe utakuwa unataka k yake. Kwani ukikataa kwenda atakuua??
 
hey pole lakini mi nadhani iyo ni common sense you should have never done that ...na unajua mwanaume you don't have to show weekness of being used by a girl
no offence:eek:hwell:
 
Mtoto wa shangazi yako siyo ukoo wako, wewe mchape tu.
Wewe auna dada nini!! Ngoja siku vijana wa shangazi yako watakapo kuchapia ndio utaona raha ehee utamu.
Cha muhimu tumia Condom kwa kila tendo
 
Wewe kaka yake .ni wakiume au mwanaume...? Unatofauti gani wanaume wengine akupe wewe kaka binamu tena kwa siri?

Kabanga adai wanaume wana wengine msababishia stress ndo maana ananitaka mim,niwe namridhisha
 
Ngoja kwanza.....
Una umri gani? Na arusha unaendaga kikazi ama ndo kwenu? Ni lazma ufikie kwa aunt na usikae gesti?

Umri wa mtu mzima kabisaa..around 28 na 29.huwa na lazimika kufikia kwa aunt kwa sababu ya type ya mishe zinazonipelekaga
 
nashukuru sana kwa michango yenu wadau..pia nimewakubali kwa utashi wenu maana wengi mmenishauri positively.mungu ajalie hekima
 
Mi nafikiri.. Kama kweli huyu ni dada yako na unamheshimu, hili suala halihitaji mjadala mrefu coz kama umeshajua nia yake la muhimu ni kutokukubali kukutana nae mahali pa peke yenu(faragha)..

Sambamba na wewe kuendelea kuonyesha msimamo wako kupinga hilo jambo..

BTW usikute umeshamtamani maana wanaume ninyi .. Mh hata hamkawiii!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sort out mishe zako bwanaa. Uwe unafikia hotel. Mzee mzima unafikia home? Hivi siku ukiambiwa udeki bafuni utasemaje? Grow up kwanza. Na usikute auntie anakusakizia uoe huyo mwanae. :A S clock: Will tell:confused3:
Umri wa mtu mzima kabisaa..around 28 na 29.huwa na lazimika kufikia kwa aunt kwa sababu ya type ya mishe zinazonipelekaga
 
Back
Top Bottom