Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

kazi2000

Member
Jan 1, 2012
71
14
Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa na mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa letu la tanzania.
Ndugu zangu niko njia panda naomba mawazo yenu,nina dada yangu( mtoto wa shangazi yangu) ambaye tuna karibiana age, na kama nime mzidi basi itakuwa ni mwaka mmoja au miwili.huyu dada alipata kuolewa na jamaa mmoja lakini hawakudumu sana kwenye hiyo ndoa nadhani hata mwaka mmoja haukuisha pia alibahatika kushka ujauzito wa huyo bwana kwa sasa ana mtoto yuko drs la kwanza.
Ndugu zangu huyu dada yangu baada ya kuachana na mmumewe aliamua kuokoka na anasema hana haja na wanaume ila ananiomba mimi nimtimizie haja zake, ananipa shida sana tangu siku nyingi lakini kwakuwa yeye yuko arusha mara nyingi huwa anakuja juu sana pindi nikifika arusha,nami kwa kumkwepa huwa nafika arusha usiku na huwa si malizi zaidi ya siku mbili naondoka.miezi miwili iliyopita alinipigia simu akiniomba niende hata weekend moja nikafikie kwake, nisifikie kwa aunt,nikamwambia nimefulia.sasa ameamua kunitumia nauli ili niende next weekend.jamani nashindwa nimweleze nini aachane na mimi,pia nimeshawahi kumweka chini na kumweleza hasara za mimi na yeye kufanya suala kama hilo lakini hakunielewa.nifanyeje wadau na mimi sitaki kuingia majiribuni.
 
Kwanza si ameokoka? Muambie utamtafuta ila muende straight kwa mchungaji wake ili mpate baraka mnapozini muwe wanandoa kabisa. Yaani unashindwa kumpa live aache kujificha kwenye wokovu!!!!!
Wanawake wa hivi ndo wanalalagwa na mbwa!
 
utani huu yaani unashindwa kuchukua hela hiyo ukaila na bafo ukafikia kwa shangazi yako?...ebu kuwa kidume na mpotezee wee nenda kaa kwa shangazi.

ama kama bafo upo tempted basi muombe akupe kabang!!
 
Kwa kuwa umefanikiwa siku zote, endelea kumpiga chenga hivyo hivyo uone atafanyaje. Hatua ya ziada atakayochukua utakuja kuomba ushauri tukuambie urespond vipi...

By the way, anaposema hana haja ya wanaume bali anakutaka wewe, kwani wewe sio mwanaume? Au anataka ukimwi wake aende na ukoo mzima?
 
Blaki womani thax nitajaribu kufanya hivyo ila kumbuka ni ndugu yangu wakaribu sidhani kama nitaweza kukata mawasiliano totally
 
Ningekuwa mimi hata nisingeleta jf, ningeenda nae chobingo zen mgegedo tuuu
 
Kwani unadhani atakupeleka kwa mchungaji wake kweli?
Afu uaitutishie na undugu. Watu kibao hawana mawasiliano na wazazi seuze binamu? Na usikate mawasiliano totally. Wasiliana nae kwa mambo ya msingi na sio lazma ajue kila ukienda arusha. Kama ni mgonjwa unawasiliana. Sio unachat nae kila siku kwa kisingozio cha ubinamu k
King'asti umeongea vizuri ila kumbuka huyu ni ndugu yangu,anastahili kumstiri angalau kidogo
 
mtoto halali na hela@hilo nalo jambo@ franky mi nikifikiria kuvua nguo na kuanza kumshurutisha dada yako naona aibu kabisa na kinyaa juu
 
Kwani unadhani atakupeleka kwa mchungaji wake kweli?
Afu uaitutishie na undugu. Watu kibao hawana mawasiliano na wazazi seuze binamu? Na usikate mawasiliano totally. Wasiliana nae kwa mambo ya msingi na sio lazma ajue kila ukienda arusha. Kama ni mgonjwa unawasiliana. Sio unachat nae kila siku kwa kisingozio cha ubinamu k
thax but pia nahisi aunt yangu anampa kichwa maana nikifika lazima awapigie mabinti zake wote na anawambia mume wenu kaja.basi huyo anayenitaka lazima aje nyumbani na akifika ni lawama kwa nini nimekuja kimya kimya,ni maswali mengine mengi kama utakaa siku ngapi.pia akiwa anarudi kwake ananiomba nimpe kampani,njiani yaani inakuwa full usaili
 
Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa na mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa letu la tanzania.
Ndugu zangu niko njia panda naomba mawazo yenu,nina dada yangu( mtoto wa shangazi yangu) ambaye tuna karibiana age, na kama nime mzidi basi itakuwa ni mwaka mmoja au miwili.huyu dada alipata kuolewa na jamaa mmoja lakini hawakudumu sana kwenye hiyo ndoa nadhani hata mwaka mmoja haukuisha pia alibahatika kushka ujauzito wa huyo bwana kwa sasa ana mtoto yuko drs la kwanza.
Ndugu zangu huyu dada yangu baada ya kuachana na mmumewe aliamua kuokoka na anasema hana haja na wanaume ila ananiomba mimi nimtimizie haja zake, ananipa shida sana tangu siku nyingi lakini kwakuwa yeye yuko arusha mara nyingi huwa anakuja juu sana pindi nikifika arusha,nami kwa kumkwepa huwa nafika arusha usiku na huwa si malizi zaidi ya siku mbili naondoka.miezi miwili iliyopita alinipigia simu akiniomba niende hata weekend moja nikafikie kwake, nisifikie kwa aunt,nikamwambia nimefulia.sasa ameamua kunitumia nauli ili niende next weekend.jamani nashindwa nimweleze nini aachane na mimi,pia nimeshawahi kumweka chini na kumweleza hasara za mimi na yeye kufanya suala kama hilo lakini hakunielewa.nifanyeje wadau na mimi sitaki kuingia majiribuni.

Hapo nilipobold pananipa shida kuelewa, binafsi sielewi wokovu huu ni wa aina gani, wokovu wa kuachana na mume na kukimbilia kwa ndg amtimizie haja zake! Naungana na Bwn Tuko, endelea na msimamo wako huo huo, achana naye maana kuna uwezekana akakuharibia mustakabali wa maisha yako ya mbeleni kwa tamaa zake za ngono.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom