Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa na mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa letu la tanzania.
Ndugu zangu niko njia panda naomba mawazo yenu,nina dada yangu( mtoto wa shangazi yangu) ambaye tuna karibiana age, na kama nime mzidi basi itakuwa ni mwaka mmoja au miwili.huyu dada alipata kuolewa na jamaa mmoja lakini hawakudumu sana kwenye hiyo ndoa nadhani hata mwaka mmoja haukuisha pia alibahatika kushka ujauzito wa huyo bwana kwa sasa ana mtoto yuko drs la kwanza.
Ndugu zangu huyu dada yangu baada ya kuachana na mmumewe aliamua kuokoka na anasema hana haja na wanaume ila ananiomba mimi nimtimizie haja zake, ananipa shida sana tangu siku nyingi lakini kwakuwa yeye yuko arusha mara nyingi huwa anakuja juu sana pindi nikifika arusha,nami kwa kumkwepa huwa nafika arusha usiku na huwa si malizi zaidi ya siku mbili naondoka.miezi miwili iliyopita alinipigia simu akiniomba niende hata weekend moja nikafikie kwake, nisifikie kwa aunt,nikamwambia nimefulia.sasa ameamua kunitumia nauli ili niende next weekend.jamani nashindwa nimweleze nini aachane na mimi,pia nimeshawahi kumweka chini na kumweleza hasara za mimi na yeye kufanya suala kama hilo lakini hakunielewa.nifanyeje wadau na mimi sitaki kuingia majiribuni.