Huwa napata hofu ninapoona mwanamke ananilazimisha nisivae Condom

Sensei Tai

Senior Member
May 26, 2022
126
359
Hii iliwahi kunitokea siku moja nipo chumbani na binti wa kanda ya kaskazini.

Mzee mzima nimetangulia kufika Lodge na nikanunua pakti zangu kadhaa za Condom kabla yeye hajafika.

Kwakua ilikua ndo mara yetu ya kwanza kukutana kwenye uwanja wa 6×6 sikutaka kabisa kutembelea ringi sababu tulikua hatujapima hivyo ni ngumu kumuamini mtu haraka haraka.

Yule binti kiukweli kajaaliwa mzigo wa haja lakini umbile lake halikufanikiwa kuniingiza kwenye mtego wa kupiga drymana sikua tayari kujiponza kwa starehe ya muda mfupi.

Ajabu ni kwamba round ya kwanza nilipiga na kinga fresh tu ila kabla hatujaanza round ya pili akawa ananisihi kwamba nisivae Condom mana alidai nikimfanya na Condom hasikii raha.

Hali ile iliniogopesha sana mana bora hata angekua yeye ndo ananishawishi nitumie kinga lakini sio kunambia nisivae kinga.

Sasa nikabaki najiuliza huyu binti ana nia gani mana kwa mzigo aliofungasha niliamini kabisa wanaume kibao wanautolea macho hivyo uwezekano wa yeye kutupanga foleni ni mkubwa sana.

Nilikomaa na msimamo wangu na mpaka tunatoka mule chumbani sikwenda hata round moja dry mana niliona afya yangu ni muhimu kuliko majuto ya starehe ya muda mfupi.

Ungekua wewe ungefanyaje ?
 
Mnapata wapi ujasiri wa kuvaa kondomu msizojua zimetengenezwa kwa mafuta gani na hayo mafuta yana athari gani kwenye uume au uke?

ZINGATIA:

1. Kuwa na Ke au Me mmoja mwaminifu.

2. Kutofanya uzinzi na uasherati.

3. Pima afya na mwenzi kabla ya kujamiiana na kila baada ya miezi mitatu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
#1 na 2 hayawezekani
 
Mali za wizi unazipimaje ngoma kirahisi rahisi?
 
Mnapata wapi ujasiri wa kuvaa kondomu msizojua zimetengenezwa kwa mafuta gani na hayo mafuta yana athari gani kwenye uume au uke?

ZINGATIA:

1. Kuwa na Ke au Me mmoja mwaminifu.

2. Kutofanya uzinzi na uasherati.

3. Pima afya na mwenzi kabla ya kujamiiana na kila baada ya miezi mitatu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Condom imetengenezwa na mfuta gani hiyo sio sababu kuwa isitumike. So far most proven way ya kukuweka salama against unprotected sex
 
Ishanikuta hiyo,
Binti kagoma katukatu mpira hataki
Ikanibid kuuza mechi ili asiondoke maana nshatumia gharama nyng sn na nlimpania.

Niliishi kwa hofu sn mpk nikipomuomba tukutane Tena Nikanunua vipimo nkampima nkakuta Yuko fresh Aman ikarejea
 
Sema imekua Ni hulka ya wanawake wengi,hawapendi kabis kutumia kinga

Afu wanatabia ya kumwamini mwanaume kirahisi Sana, nliwaza Kama ningekua nmeathirika si ningemgawia virusi kirahisi Sana Maana hanijui simjui afu anakomaa eti Kinga hataki

Haya maisha, Kuna Watu tunalindwa na Mungu TU, Wanaouza mechi ni wengi mno
 
Wajanja wanatumia vilainishi risk inakuwa ni ndogo sana.

Kuna game kutumia condom ni kutojitendea haki kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom