Huu wizi wa mitandao wa kwenye MB za intaneti umebarikiwa na Serikali?

witzone2

JF-Expert Member
Jan 14, 2022
780
1,636
Hivi huu wizi wa kila siku wa kupunguza data kila siku umebarikiwa na Serikali ya CCM? Make kila siku ni kupunguza MB na Serikali Iko kimya. TCRA wapo kimya. Nape Yuko kimya anajibizana tu ovyo kule Twitter na Mtikila. Voda. Airtel. Tigo. Halotel ni majizi makubwa huku wananchi tunaumia.

Tunataka Serikali ikomeshe huu wizi wa wazi wazi kabisa. Huduma ya internet sio anasa ni huduma. Nahisi Serikali inanufaika na huu wizi kwa kuufanya kama tozo. Haiwezekani wananchi tunapiga kelele kwa kuumia halafu Serikali Iko kimya
 
Back
Top Bottom