Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Huu utitiri wa iphone 13 copy zinazouzwa laki 3 dar zinatoka wapi?

Kumekua na iphone 13, 13 pro max nk...ambazo zinauzwa sana huku Dar hususan mtandaoni zikiuzwa Laki 3, laki 3 na nusu hadi laki nne. Zipo kama iPhone kabisa kila kitu kasoro zinatumia android. Japo naskia kuna america mastercopy zina ios kabisa japo sina uhakika

Hizi iphone Copy za bongo wanatoa wapi?? Maana kwenye site za kichina kama aliexpress,alibaba etc zipo copy ila sio kama hizi zile za kichina na copy feki kabisa na hazina logo wala sticker za iphone

Lakini hizi za kibongo zinauzouzwa zina logo na kila kitu kama apple na iphone swali hizo simu wanazitoa wapi???
Swali jingine jee zikiharibika mfano kioo hapo inakuaje kioo chake utareplace vipi wakati sio iphone halisi?Au kitawekwa cha iphone tu ikubali?

Hizo hapo kwa picha
View attachment 2458258[
Picha ya kwanza
ATTACH=full]2458260[/ATTACH
Picha ya pili

View attachment 2458255
Picha ya tatu
View attachment 2458256View attachment 2458257View attachment 2458259
 
Attachments

  • 1672006990944.jpg
    1672006990944.jpg
    72.7 KB · Views: 46
Huu utitiri wa iphone 13 copy zinazouzwa laki 3 dar zinatoka wapi?

Kumekua na iphone 13, 13 pro max nk...ambazo zinauzwa sana huku dar hususan mtandaoni zikiuzwa Laki 3, laki 3 na nusu hadi laki nne

Zipo kama iPhone kabisa kila kitu kasoro zinatumia android

Japo naskia kuna america mastercopy zina ios kabisa japo sina uhakika

Hizi iphone Copy za bongo wanatoa wapi??Maana kwenye site za kichina kama aliexpress,alibaba etc zipo copy ila sio kama hizi zile za kichina na copy feki kabisa na hazina logo wala sticker za iphone

Lakini hizi za kibongo zinauzouzwa zina logo na kila kitu kama apple na iphone swali hizo simu wanazitoa wapi???
Swali jingine jee zikiharibika mfano kioo hapo inakuaje kioo chake utareplace vipi wakati sio iphone halisi?Au kitawekwa cha iphone tu ikubali?

1672007010288.jpg
 
So far viwanda vya simu 85% vipo China. Niliziona majuzi ukiishika ni Nyepesi sana na ni maplastic matupu. Ni made in China zina android japo Icons zake ni za Iphone, Camera quality ni mbaya.
 
Hii inamfanya mchina aonekane bado nyuma sana kiteknolojia japo yupo vizuri.
Vitu vya fake fake kama hivi ndivyo vinavyomfanya aonekane wa kawaida sana.
Mchina ameharibu sana soko la vifaa vya umeme. Leo kuipata memory og aisee utasumbuk sana.
 
Uchumi wake ndo unapaa hivyo. Hebu fikiria asipige copy ya iPhone, ya magari, ya silaha .. nk. Atakua wapi?
Nampa heko aendelee kukopi
 
Back
Top Bottom