Huu utafiti jamani-Eti 80% ya wanaume husaliti ndoa zao……!

Du mshapata msamiati mpya, kaazi kweli kweli...............................
Jamani hivi uzee huu, kweli nihangaike na vimwana? si nitafia kwenye utukufu, mimi sitaki tena hayo mambo, nimeshatosheka......!
Khaaaaaaaaaaa!!!
Niseme nisisemeeee.............................!!!
 
Dingi, hizi topic unaleta huku wakati maza amesafiri zinanifanya nitafakari huwa unawaza nini ukiwa umejifungia chumbani kwako! Na tumekuomba tulale humo chumbani na ww kama wakati tukiwa wadogo umekataa! Haya weeh!
Mi nakataliana na hiyo takwimu ya 70 to 80% ya wanaume hutoka nje ya ndoa. I believe ni 99.5% lakini sina data. I don't trust any man, not even the Pope himself! I don't even trust u dad, lol! Ngoja niende zangu shule mie nisije nika-Mwanasha!

Likewise..I always go with the flow ila kumwamini mwanaume 100% never in my life!..
Sema wanaume wengi cheating yao ni game tu halafu wako kwenye mstari kwa familia zao. Japo wengine wamekubuhu na kushindikana!!
 
Naungana na dada yangu king'asti hapo juu,rate ya wanaume iko juu zaidi kuliko ya wanawake,
Na hii inatokana na sababu no 1,2, na no 3,hata hii ya no 4 ni nadra sana kwa wanawake bali wanaume ndio kbs siku hizi wanaitumia sana hasa akiwa na nafasi nzuri kiuchumi,umaarufu na madaraka.
 
...idadi ya jinsia ya kike inayo-chit itakuwa kubwa kuliko 4/5 kwa kila seti ya 10 kwani inasadikika uwezo wa jinsia ya kiume kuwaridhisha wale waishio nao kwa muda mrefu umeendelea kupungua.....:photo:
 
Wanaume wanashika bendera aisee, hata usiemdhania!!! Wengine hata pesa hawana ila wamekazana tu kulimbikiza madeni na kushindisha njaa watoto mradi tu akaenjoy na nyumba ndogo dah!!! Wamama na ndoa zao nao kazi kutoa vitisho tu kwa mabinti wa watu ili wawaachie viserengeti boys vyao...........yaani chain ya ukimwi ndo inazidi kustawishwa tu!
 
na wewe na hii avatar yako utatuponyesha kweli? Labda utuonee huruma kidogo na kuficha zaidi ........lol
 
Naungana na dada yangu king'asti hapo juu,rate ya wanaume iko juu zaidi kuliko ya wanawake,
Na hii inatokana na sababu no 1,2, na no 3,hata hii ya no 4 ni nadra sana kwa wanawake bali wanaume ndio kbs siku hizi wanaitumia sana hasa akiwa na nafasi nzuri kiuchumi,umaarufu na madaraka.

Bado sijui tofauti ya dume na jike kwenye hili swala kwa sababu kama ni uovu huwa wantenda na nani kama siyo kati yao kwa hiyo mambo yote lazima yalingane...........mwosha ultimately huoshwa tu hakuna jinginelo hapo.......
 
Back
Top Bottom