Huu ukimya unaashiria nini kwa Wapinzani hapa nchini?

Kumkubali mtu kuwa yupo vizuri sio mpaka utamke maneno, uweza kukubali hata kwa kutikisa kichwa au kukaa kimya.

Tujihoji kwa umakini, kama Chama cha Upinzani makini hapa nchini utakaa kimya kama haungi mkono yanayofanywa na chama tawala?

Kwanini uchukue ruzuku na kuitumia ili hali unajua ni haramu? Ndio maana hatusikii viongozi wa Chadema wakitoa matamko? Kwahiyo wameamua kuunga juhudi kimyakimya?

Ok, basi kama mnaunga juhudi tunataka tamko la Chadema kuunga juhudi rasmi kama wenzao ACT Wazalendo. Kulikoni kuunga kimyakimya kama binti aliyetoroshwa na kufunga ndoa ya kimyakimya kisha baada ya miaka 3 mnakuta amezalishwa watoto wanne na kutelekezwa.
We huna akili
 
Mlisema wapinzani wanawachelewesha lakini as we speak mafuta ya kula bei ipo juu cement bei ipo juu kenge nyie
 
Ukiwaondoa hadharani watafanyia vyao uvunguni. Huu si muda wa malumbano ni muda wakulijenga Taifa hofu isiwatoe relini
 
Vyama vya Kisiasa vya Kiafrika vingi ni Kampuni za Kutoa Ajira kwa Wanasiasa.
Na sio kuleta changamoto za Kidemokrasia na Kukiongoza Chama tawala.
Vyeo vikishapatiana na Ruzuku ikisha gawiwa basi hakuna kelele tena.
Maisha yanaendelea.
Vijana msiwe ngazi za hawa watu, tumieni fulsa zilizopo kuboresha maisha yenu na ya wanenu.
 
Wamekuachie wenyewe Ili msiwe na lawama ya kukwamisha maendeleo,imebaki miaka 4 timizeni ahadi zenu kuifanya tz iwe Kama China
 
Vyama vya Kisiasa vya Kiafrika vingi ni Kampuni za Kutoa Ajira kwa Wanasiasa.
Na sio kuleta changamoto za Kidemokrasia na Kukiongoza Chama tawala.
Vyeo vikishapatiana na Ruzuku ikisha gawiwa basi hakuna kelele tena.
Maisha yanaendelea.
Vijana msiwe ngazi za hawa watu, tumieni fulsa zilizopo kuboresha maisha yenu na ya wanenu.
Angalau uwepo vyao vimesaidia kidogo bila hivyo waafrika wangepata tabu Sana toka kwa wakoloni weusi.
 
Naona mmeanza kuona umuhimu wa magunzi. Aliyewashauri kuwa mkiwa wenyewe kwenye uwanja wa siasa ndio mtafanikiwa mnatakiwa kumsulubisha mchana kweupe

Mitano tena
 
Angalau uwepo vyao vimesaidia kidogo bila hivyo waafrika wangepata tabu Sana toka kwa wakoloni weusi.
Sawa, ninachosema Wanamageuzi wetu wengi, hawapo kwa hiyo unayosema kusaidia.
Mfano,
Wale wa Viti maalum.
Mzee wa Mama Tanzania,
Mzee wa Kilalacha
Mzee wa Uhanithi nk.
Upinzani wa Kweli ni ule aliuonesha Marehem Mtikila wa DP.
Mahakamani anashinda, Kwenye Kura Anashinda.
 
Kumkubali mtu kuwa yupo vizuri sio mpaka utamke maneno, uweza kukubali hata kwa kutikisa kichwa au kukaa kimya.

Tujihoji kwa umakini, kama Chama cha Upinzani makini hapa nchini utakaa kimya kama haungi mkono yanayofanywa na chama tawala?

Kwanini uchukue ruzuku na kuitumia ili hali unajua ni haramu? Ndio maana hatusikii viongozi wa Chadema wakitoa matamko? Kwahiyo wameamua kuunga juhudi kimyakimya?

Ok, basi kama mnaunga juhudi tunataka tamko la Chadema kuunga juhudi rasmi kama wenzao ACT Wazalendo. Kulikoni kuunga kimyakimya kama binti aliyetoroshwa na kufunga ndoa ya kimyakimya kisha baada ya miaka 3 mnakuta amezalishwa watoto wanne na kutelekezwa.
Fanyeni kazi wacheni maneno yenu, tunaisubiri kwa hamu kubwa Tanzania kama uraya na Arusha kama karufonyia kama mlivyoahidi wakati wa kampeni. Wapinzani wameamua kuwaachia uwanja kama mlivyotaka.
 
Sawa, ninachosema Wanamageuzi wetu wengi, hawapo kwa hiyo unayosema kusaidia.
Mfano,
Wale wa Viti maalum.
Mzee wa Mama Tanzania,
Mzee wa Kilalacha
Mzee wa Uhanithi nk.
Upinzani wa Kweli ni ule aliuonesha Marehem Mtikila wa DP.
Mahakamani anashinda, Kwenye Kura Anashinda.
Hata Hawa wanashinda wangekuwa hawashindi wangekuwa ndani.Sababu wao ndio siku zote wanaonewa thus mahakama inashindwa kesi
 
Yaani CDM mnajiona wajanja na kwamba mnaikomoa serikali ya CCM wakati mnaiunga mkono kwa kupokea ruzuku na kupeleka bungeni viti maalu 19 kimyakimya kwa kuogopa kuitwa CCM-C !! Achani siasa za ujanja janja!

Tunachotaka sisi ni kuona uhai wa vyama vya upinzani kwa kujitokeza kukemea uvunjifu wa katiba unaofanywa na CCM. Inawezekanaje kila linalotakiwa na chama tawala linakuwa tena hata kwa kuvunja sheria za nchi alafu pasiwepo wanaharakati wa kuzuia au kulaani.
Kuna hata siku moja ulilaani uovu na unyama uliofanyika ktk uchaguzi mkuu ulopita?tuanzie hapo kwanza
 
Kumkubali mtu kuwa yupo vizuri sio mpaka utamke maneno, uweza kukubali hata kwa kutikisa kichwa au kukaa kimya.

Tujihoji kwa umakini, kama Chama cha Upinzani makini hapa nchini utakaa kimya kama haungi mkono yanayofanywa na chama tawala?

Kwanini uchukue ruzuku na kuitumia ili hali unajua ni haramu? Ndio maana hatusikii viongozi wa Chadema wakitoa matamko? Kwahiyo wameamua kuunga juhudi kimyakimya?

Ok, basi kama mnaunga juhudi tunataka tamko la Chadema kuunga juhudi rasmi kama wenzao ACT Wazalendo. Kulikoni kuunga kimyakimya kama binti aliyetoroshwa na kufunga ndoa ya kimyakimya kisha baada ya miaka 3 mnakuta amezalishwa watoto wanne na kutelekezwa.

Kama ruzuku zinakuuma basi futeni upinzani mbaki ccm tu mkuu.
 
Yaani CDM mnajiona wajanja na kwamba mnaikomoa serikali ya CCM wakati mnaiunga mkono kwa kupokea ruzuku na kupeleka bungeni viti maalu 19 kimyakimya kwa kuogopa kuitwa CCM-C !! Achani siasa za ujanja janja!

Tunachotaka sisi ni kuona uhai wa vyama vya upinzani kwa kujitokeza kukemea uvunjifu wa katiba unaofanywa na CCM. Inawezekanaje kila linalotakiwa na chama tawala linakuwa tena hata kwa kuvunja sheria za nchi alafu pasiwepo wanaharakati wa kuzuia au kulaani.
Naomba elimu kidogo,hivi suala la ukosoaji na upingaji wa uvunjifu wa katiba kama upo ni kazi ya wapinzani tu sisi raia wengine haituhusu?
 
Back
Top Bottom