Mwigulu Nchemba kwa anayofanya yupo sahihi, soma hapa

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
NIMEJITAIDI NIWEKE KWENYE FILE LAKE ORIGINAL IKAGOMA BUT SOMA SASA (tafakari chukua hatua... ngeengeee .. haki ya elimu...)


CHAMA CHA MAPINDUZI

KUHUISHA MTANDAO WA WANA CCM KATIKA VYUO NA MASHINA YA WAKEREKETWA
Kumetokea na sura tofauti katika hali ya kisiasa nchini hivi karibunikufuatia propaganda za CHADEMA kutaka kujipatia umaarufu na kujitafutia uhalalikwa njia ya kuichonganisha serikali na wananchi na kupandikiza chuki dhidi yaChama cha Mapinduzi. Hali hii imedhihirishwa na juhudi za makusudi zilizofanywana chama hicho za kupotosha ukweli, kutokuona ukweli na kung'ang'ania uzushikuwa ndio mtaji wao wa kisiasa bila hata kujali masilahi ya Taifa na misingi yautu iliojengwa kwa wananchi wake. Kwa mfano kumekwepo na upotoshaji wa kuwahakuna uthubutu wa serikali ya awamu ya nne, ubunifu, kubeza mafanikio nawakati mwingine kuropoka kuwa hakuna mafanikio yaliofikiwa tangia uhuru. Piakumekwepo na lawama kuhusu kupanda kwa gharama za maisha bila hata kuzingatiachanzo cha gharama hizo kinatokana na nini badala yake lawama zinatolewa kamavile bei zimepandishwa na Chama na Serikali na viongozi wake.Hii imesababisha baadhi ya wananchi kwa kutokujua ukweli kupotoka nawengine kushabikia nadharia bila kutaka ukweli na bila kujali madhara yaushabikiaji wa vitu vya kizushi kuwa una athiri umoja, aman, utulivu nahata shughuli za uzalishaji . matokeoyake tumekuwa tukishuhudia vitendo vya uvunjifu wa taratibu maeneotofautitofauti.Baadhi ya vitu vilivyochangia kukua kwa wimbi hili katika vyuo vikuu na maeneo mengine kamailivyoelezwa katika kikao cha baadhi ya wabunge vijana na viongozi na wanachamawa vyuo vikuu vya mkoa wa Dodoma ni
  • Kudhofika kwa UVCCM na vitengo cha propaganda vya CCM kwa ngazi zote kiasi cha kupungua kwa watu wa kukitetea chama na kuelezea mafanikio yaliopatikana kutokana na jitihada za serikali yake.
  • Kupungua kwa moyo kujitolea kufanya kazi za chama kwa wa CCM wakati usio wa uchaguzi na kuyaacha baadhi ya makundi kama vijana bila mawasiliano mpaka wakati wa Uchaguzi. Kukosekana kwa mikutano na wanachama kwa viongozi wa vijana Taifa hata ile isio rasmi kiasi cha kuwafanya wafuasi wa CCM vyuoni kuwa wapweke.
  • Kutokufanyika kwa semina za mara kwa mara kwa wanafunzi zinazohusu fursa hivyo kuwafanya wakate tama na kupotoshwa kirahisi kwa kauli za vitisho za wapinzani.
  • Kutokuwafanyia semina za mara kwa mara kwa wakereketwa wa CCM walioko vyuoni ili kuimarisha uhusioano na chama na serikali na kujua undani wa chama, sera na mafanikio yaliofikiwa na serikali ili kuwa na mwelekeo wa pamoja na kauli ya pamoja wanapoitetea serikali
  • Wanafunzi walio wana CCM kukosa mawasiliano hata ya kufikisha taarifa za siri punde kunapokuwepo na vuguvugu vyuoni na pia hakuna mtandao wa kuwafikishia taarifa hata wafuasi wa CCM kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusu malalamiko ya wanachuo.
  • Kutokuwepo kwa udhibiti wa kauli za wahadhiri wanapoibeza serikali wanapofundisha na wakati mwingine kufanya kampeni za wazi wazi darasani kinyume na sheria za utumishi wa uma za kutokufanya siasa mahali pa kazi.
  • Kutokuwepo kwa udhibiti wa vurugu wanazofanyiwa wafuasi wa CCM na wanafunzi wasiounga mkono migomo. Wakati mwingine wanafunzi wanafanyiwa fujo kwa kuvaa sare za CCM na kuzuiwa kutoka maeneo ya vyuo kwenda katika mikutano.
Kwa upande wa Mashina ya wakereketwa kumetokea malalamiko ya vijanakutotumika kwenye shughuli za kisiasa mpaka wakati wa uchaguzi. Pia kumekwepona malalamiko ya kukosekana kwa ufafanuzi punde chama au viongozi wakuu wanapokuwawamepakwa matope hivyo kuwafanya wafuasi wa CCM kuanza kuzomewa mitaaniwanakoishi kuwa wameshindwa kujibu.
  • Hii inawavunja nguvu wakereketwa wanapoambiwa kutokujibiwa malalamiko au matope yaliorushwa ni ishara ya ukweli.
  • Pia kimekosekana kitengo cha propaganda na kutawala vyombo vya habari hata vilivyo vya serikali kiasi kwamba hata panapokuwa pameandikwa habari ya CCM, wapinzani ndio wanakuwa wameiandika hivyo kuwa na madhara kwa Chama.
Mapendekezo
  • Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu na ofisi ya mnadhimu mkuu ziongezewe nguvu ili zifanye shughuli ya kwenda hatua zaidi ya wapinzani kwa kuwa na watu wanaoshughulikia mambo haya. Vinatakiwa viwepo vitengo vya propaganda kwa kila ngazi viwezeshwe na kuratibiwa ili viende sambamba na matukio makuu katika kalenda. Kwa mfano maadhimisho ya CCM yawe na midahalo ya wana CCM, wanavyuo wetu na wananchi kwa ujumla, siku ya akina mama iwe na midahalo, sikukuu ya mungano iwe na midahalo na yafanyike maandalizi na fursa hizo zitumike kukosoa wale ambao wamekuwa wakileta lugha zenye madhara kwa hatima ya mungano nk.

  • Kuwepo na kikundi maalum katika ofisi ya umoja wa vijana na wabunge vijana kushirikiana na ofisi ya Chama taifa, ofisi ya waziri anayehusika na mahusioano na uratibu na mnadhimu mkuu kushughulikia kupangua hoja za kizushi za upinzani na kutoa mapendekezo staiki kuhusu kutengeneza mtaji wa kisiasa kwa makundi mbalimbali ya jamii.
  • Kikosi hicho kiimarishe mtandao kwa wanavyuo wanaomaliza masomo wajulikane walipo na ikibidi wawezeshwe ili wafanye kazi ya kukisemea vizuri chama popote walipo na wawe chachu pale mahali pa kazi walipo.
  • Kitengo hicho kiratibu midahalo na kutafuta wana CCM wanaoweza kuwa na majibu mazuri zaidi kulingana na uhusiano wa maada husika na utalaam na uzoefu wa msemaji anaestahili kushiriki
  • Kuhamasisha wana CCM kushiriki midahalo kwa njia za simu na wakati mwingine kuwaweka wana CCM kimkakati kushiriki mjadala hiyo tokea sehemu mbalimbali maada inapokuwa na mvuto wa kisiasa, masilahi ya kitaifa na chama chetu
  • Kupitia mwavuli wa Ofisi ya mahusiano na uratibu kitengo kiwe na uwezo wa kujibu kila hoja kwa kupata ushauri, majibu stahiki na makubaliano tokea kwa wataalam na wakuu wa wizara husika inayoguswa na agenda.
  • Kikundi kihusike na kutembelea wanavyuo na kufanya mawasiliano ya uamzi wa chama na makusudio ya serikali kutengeneza wasemaji wa agenda za serikali ndani ya jamii.

  • Kikosi hicho kishirikiane na wabunge wa kila jimbo kutembelea shule za sekondari kwani hao ndio wanavyuo wajao na wapiga kura wa uchaguzi ujao. Ni vyema pia ifanye mikutano ya hadhara nchini kote punde zinapotokea kauli za kukishambulia chama chetu. Wahusike wanachama, viongozi wa wilaya, mikoa na wabunge kukanusha na kulaani kauli za uongo. Hili liratibiwe na ofisi ya chama makao makuu, mikoa, wilaya, kata na matawi.

  • Kitengeneze utumiwaji wa wataalamu wa fani mbalimbali kufanya mawasilianao kwa njia ya SIMU NA INTERNET kueneza sera za chama na kazi za serikali.
  • Kuwepo muda maalumu na kikundi maalumu cha wabunge wa kuandaliwa kupeleka hoja au kujibu hoja watakaoweza kufanya hivyo kwa hisia za juu kuleta msisimko wa kisiasa na kuwapa moyo wana CCM pote walipowasiwe wanyonge.
  • Kutengeneza mtandao wahadhiri watakaokuwa wanakisemea vizuri chama mahali pakazi
  • Kufanya tafiti za siri kuhusu misimamo ya wateule wa nafasi mbalimbali kwa chama ili kuepuka hujuma na usaliti wakati wa uchaguzi.
  • Kukutana na viongozi wa kidini kuwaweka sawa na kutambua kuwa chama kinawajali na kujua umhimu wao katika amani ya nchi
  • Kukosi pia kitakuwa kinahusika kutengeneza mtazamo wa pamoja kuhusu jambo linalohusu nchi na kutafuta watu maeneo tofauti kulisemea jambo hilo, mfano mambo ya kuzingatiwa katika katiba mpya.
  • Kuanzisha ofisi, matawi na kuratibu upatikanaji wa wana CCM kushika uongozi kwenye serikali za wanafunzi.
  • Kuhusu vijana wa kwenye majiji na mijini na miji midogo wasio na ajira, wizara ya inayohusika na biashara na wizara inayohusika na vijana iangalie namna ya kutekeleza mpango maalumu wa kuwarudisha vijana walioasi chama kwa madai ya hali ngumu ya maisha.
  • Kwa mfano wizara husika zinaweza kufanya sensa na kupata idadi ya vijana wanaoweza kutambulika na kukopesheka halafu watafutiwe supplier maalumu aagize kwa jumla pikipiki na bajaji halafu zikopeshwe kwa vijana badala ya utaratibu wa sasa wanaoajiriwa na kupeleka hesabu kwa matajiri wao, wapeleke hesabu kwa supplier na punde deni likiisha pikipiki zinakuwa za kwao. Lakini mpango huo ufanyike kimkakati ili uweze kuleta manufaa kwa chama.
  • Mfano wa mkakati ni kwanza kufanyika kampeni ya kukaa vikao vya ndani na vijana kila miji watakao pata kwa kila awamu watakuwa chachu.
  • Mfano wa pili ni kuwakusanya vijana ambao wana ufundi wowote wawezeshwe halafu wafanye kazi na serikali. Kwa mfano wanaoweza kutengeneza madawati wajulikane watengeneze madawati ya shule zote za misingi, sekondari na vyuo kwa ushirikiano na serikali.
  • Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi uwahusishe wananchi ili waone vinavyofanyika pamoja na wabunge kutumia fursa hiyo kuwaeleza kuwa kinachotekelezwa kilikuwepo kwenye ahadi. Kwa mfano vitabu visigawiwe kimyakimya kwa kuwatumia watendaji wa sekta ya elimu kuwakabidhi waratibu na waratibu kuvifikishia ofisini bali kuwe kunafanyika mikutano inayohusisha wanafunzi na wananchi ili wajue hatua zinazochukuliwa. Ifanyike hivyo kwa huduma za afya, kwa maabara, umeme n.k kwa kadri itakavyowezekana.
  • Hii itapunguza wananchi kudanganywa mathalani walikuwa wanaambiwa wao ndio wamejenga shule za sekondari za kata sio serikali ya CCM lakini ukweli ni kwamba mchango wa wananchi kwenye ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu, zahanati na vituo vya afya ni maboma peke yake na mambo yote yanayosalia ni fadha za serikali. Utaona kuwa fedha ya serikali ni kubwa lakini kwa kuwa zinatoka kimya kimya kwa njia ya akaunti wananchi wakiambiwa wamejenga wanadhani ni michango yao imefanya kila kitu.
"WE STILL HAVE THE CONTROL OF THE MATCH"
MUNGUIBARIKI CCM
MUNGUIBARIKI TANZANIA
MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB)

JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI
 
hivi mavi ukiya pulizia pafyumu nini hutokea...ccm tumewachoka mmetuibia vya kutosha na hatuoni wa kuibadilisha mavi kuwa mandazi..
 
"we still have the control of the match" bado hawajajua wananchi wanataka nini na sidhani kama huu mkakati utatekelezwa kama ambavyo wameshindwa kutekeleza ilani zao walizotuahidi kipindi cha uchaguzi
 
...pole sana magamba huo ujinga wenu mnaofikiria kuufanya hauna nafasi hata kidogo kwenye kizazi hiki...hiki ni kizazi cha "DIGITAL" ambacho kinaji-set chenyewe sio kama kile cha wazazi wetu cha ANALOGY ambacho mlikuwa mnaki-set kadri mlivyokuwa mkipenda...kwa tahari tumekwisha wasoma,tunasubiri tu muda(2015) ufike tuwapotezee na tuwasahau kabisaaaaaaaaaaaaa!!!...
 
RUBBISH!It culd ev bin pocbo zoz days bt NEVA NOW, 2meamka!CCM mme2pumbaza vya ktosha, mmeiba vya ktosha, mme2buruza vya ktosha!CC KA PUNDA 2nasema IT'S OVA, u must die ccm, u ev 2 go 2 ze hell ccm!KWISHNEI Nchemba + ccm yko nyau ww!
 
Wamekumbuka Shuka kukiwa tayari kumekucha, na hakuna mwana ccm alienauthubutu wa kufanya hayo
 
Kweli huyu Mwigulu naamini usomi wake una mashaka au asili ni mgomvi maana kuna vitu vya kuacha kabisa kuvitoa km nilivyoanza kumsikia huko Igunga na Arusha Masahariki inanitia wasiwasi,
Huwezi kuiendesha nchi kutumia mitandao ya kijamii.
issue nyingi za humu JF akishazitoa yeye (burn karudi) kesho yake lazima uisikie magazetini, au mtu kakamatwa na kupelekwa mahakamani na hili sms fake limeanzia humuhumu JF jana Usiku yeye na Nape wanautangazia umma.
kweli atawaingiza wengi mkenge maana sasa anafuatia Nape kumwamini
 
Mtu mwerevu hawezi pingana na mageuzi ama kushindana na wakati. Enzi ya CCM kukaa madarakani imefika mwisho. Lazima wawepo watu kama Nchemba ambao watagoma kuuona ukweli,wana msongo wa mawazo!
 
​kuna makaburu waliapa kuwa kamwe mtu mweusi hataongoza sa sasa ni haya ya ccm lakini hawana watu makini mwigulu,nape wasira komba maji marefu na mzee dhaifu kikwete
mtu mwerevu hawezi pingana na mageuzi ama kushindana na wakati. Enzi ya ccm kukaa madarakani imefika mwisho. Lazima wawepo watu kama nchemba ambao watagoma kuuona ukweli,wana msongo wa mawazo!
 
Invisible
Tafadhali nipe ruhusa nivunje moja ya kanuni za jf ili nipunguze ma-stress, na wala haitakuwa ajabu, tumemuona ndugai juzi kitalani,

kumbe ndio maaaaana mikutano yake ya kirushwa rushwa anifanyia pale kanisani kkkt kyengeeege? Ni mkakati maalum eeeeh!

Mkuu, uniwekee ruhusa kwenye inbox nimpopoe kwa matusi huyu alias mwigulu nchemba.
 
Last edited by a moderator:
NIMEJITAIDI NIWEKE
KWENYE FILE LAKE ORIGINAL IKAGOMA BUT SOMA SASA
(
tafakari chukua hatua...
ngeengeee .. haki ya elimu...)


CHAMA CHA MAPINDUZI

KUHUISHA MTANDAO WA WANA CCM KATIKA VYUO NA MASHINA YA
WAKEREKETWA
Kumetokea na sura tofauti katika hali ya kisiasa nchini hivi karibunikufuatia propaganda za CHADEMA kutaka kujipatia umaarufu na kujitafutia uhalalikwa njia ya kuichonganisha serikali na wananchi na kupandikiza chuki dhidi yaChama cha Mapinduzi. Hali hii imedhihirishwa na juhudi za makusudi zilizofanywana chama hicho za kupotosha ukweli, kutokuona ukweli na kung'ang'ania uzushikuwa ndio mtaji wao wa kisiasa bila hata kujali masilahi ya Taifa na misingi yautu iliojengwa kwa wananchi wake.

Kwa mfano kumekwepo na upotoshaji wa kuwahakuna uthubutu wa serikali ya awamu ya nne, ubunifu, kubeza mafanikio nawakati mwingine kuropoka kuwa hakuna mafanikio yaliofikiwa tangia uhuru. Piakumekwepo na lawama kuhusu kupanda kwa gharama za maisha bila hata kuzingatiachanzo cha gharama hizo kinatokana na nini badala yake lawama
zinatolewa kamavile bei zimepandishwa na Chama na Serikali na viongozi wake.


Hii imesababisha baadhi ya wananchi kwa kutokujua ukweli kupotoka nawengine kushabikia nadharia bila kutaka ukweli na bila kujali madhara yaushabikiaji wa vitu vya kizushi kuwa una athiri umoja, aman, utulivu nahata shughuli za uzalishaji.

Matokeoyake tumekuwa tukishuhudia vitendo vya uvunjifu wa taratibu maeneotofautitofauti.Baadhi ya vitu vilivyochangia kukua kwa wimbi hili katika vyuo vikuu na maeneo mengine kamailivyoelezwa katika kikao cha
baadhi ya wabunge vijana na viongozi na wanachamawa vyuo vikuu vya mkoa wa Dodoma ni



  • Kudhofika kwa UVCCM na vitengo cha propaganda vya CCM kwa
    ngazi zote kiasi cha kupungua kwa watu wa kukitetea chama na
    kuelezea mafanikio yaliopatikana kutokana na jitihada za serikali
    yake.
  • Kupungua kwa moyo kujitolea kufanya kazi za chama kwa wa CCM
    wakati usio wa uchaguzi na kuyaacha baadhi ya makundi kama vijana
    bila mawasiliano mpaka wakati wa Uchaguzi. Kukosekana kwa mikutano
    na wanachama kwa viongozi wa vijana Taifa hata ile isio rasmi kiasi
    cha kuwafanya wafuasi wa CCM vyuoni kuwa wapweke.
  • Kutokufanyika kwa semina za mara kwa mara kwa wanafunzi
    zinazohusu fursa hivyo kuwafanya wakate tama na kupotoshwa kirahisi
    kwa kauli za vitisho za wapinzani.
  • Kutokuwafanyia semina za mara kwa mara kwa wakereketwa wa CCM
    walioko vyuoni ili kuimarisha uhusioano na chama na serikali na
    kujua undani wa chama, sera na mafanikio yaliofikiwa na serikali ili
    kuwa na mwelekeo wa pamoja na kauli ya pamoja wanapoitetea
    serikali
  • Wanafunzi walio wana CCM kukosa mawasiliano hata ya kufikisha
    taarifa za siri punde kunapokuwepo na vuguvugu vyuoni na pia hakuna
    mtandao wa kuwafikishia taarifa hata wafuasi wa CCM kuhusu hatua
    zinazochukuliwa na serikali kuhusu malalamiko ya wanachuo.
  • Kutokuwepo kwa udhibiti wa kauli za wahadhiri wanapoibeza
    serikali wanapofundisha na wakati mwingine kufanya kampeni za wazi
    wazi darasani kinyume na sheria za utumishi wa uma za kutokufanya
    siasa mahali pa kazi.
  • Kutokuwepo kwa udhibiti wa vurugu wanazofanyiwa wafuasi wa CCM
    na wanafunzi wasiounga mkono migomo. Wakati mwingine wanafunzi
    wanafanyiwa fujo kwa kuvaa sare za CCM na kuzuiwa kutoka maeneo ya
    vyuo kwenda katika mikutano.
Kwa upande wa Mashina ya wakereketwa kumetokea malalamiko ya
vijanakutotumika kwenye shughuli za kisiasa mpaka wakati wa uchaguzi.
Pia kumekwepona malalamiko ya kukosekana kwa ufafanuzi punde chama au
viongozi wakuu wanapokuwawamepakwa matope hivyo kuwafanya wafuasi wa CCM
kuanza kuzomewa mitaaniwanakoishi kuwa wameshindwa kujibu.


  • Hii inawavunja nguvu wakereketwa wanapoambiwa kutokujibiwa
    malalamiko au matope yaliorushwa ni ishara ya ukweli.
  • Pia kimekosekana kitengo cha propaganda na kutawala vyombo vya
    habari hata vilivyo vya serikali kiasi kwamba hata panapokuwa
    pameandikwa habari ya CCM, wapinzani ndio wanakuwa wameiandika hivyo
    kuwa na madhara kwa Chama.
Mapendekezo
  • Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu na ofisi ya mnadhimu mkuu
    ziongezewe nguvu ili zifanye shughuli ya kwenda hatua zaidi ya
    wapinzani kwa kuwa na watu wanaoshughulikia mambo haya. Vinatakiwa
    viwepo vitengo vya propaganda kwa kila ngazi viwezeshwe na kuratibiwa
    ili viende sambamba na matukio makuu katika kalenda. Kwa mfano
    ccm ni sawa na kansa!
 
Hapa mwigulu anachemka mno mfano;
  1. bado hajabaini kinacho waua kuwa ni , rushwa, ufisadi, utendaji mbaya wa viongozi wa chama chake amuulize Nape ili amupe story ya muuzaduka na mwenye duka - huwa sisahau!
  2. viongozi wa dini wakijiingiza kwenye siasa watafukuza waumini jambo ambalo hakuna hata kiongozi mmoja aliye tayari kulishudia
  3. mradi wa pikipiki utaleta lawama kubwa mno kama ilivyo kwa ruzuku ya mbolea
  4. vijana wa shule ndiyo wanao jiandaa kuwa maliza hasa wa shule za kata maana wamelundikwa ili wakue kwenye majengo hayo bila walimu, vitabu na hata maktaba au maabara - rejea kauli ya Mzindakaya alipo kuwa akiliaga bunge la 9
  5. hoja ya mwisho ukiitamtamka tuu basi utawafukuza hata wanaishi kwa matumaini ya 30% ndani ya chama - kumbuka watu wanachangia si chini ya tsh 10000/= per head
  6. waziri wa uhusiano akitumia tu mali ya serikali raia hawata mwelewa - kumbuka yaliyo mpata waziri huko Tunduma baada kutumia gari la serikali ktk kuzindua matawi ya chama
  7. hoja zako zote zina prove failure sijui kwa nini ??? hata ile ya kitengo cha propaganda ndiyo bomu kabisa ndiyo maana walifutilia mbali
 
Yes Nchemba, you still have control to those with suppressed thinking whose number is now tending to zero!!
 
Kama kuna fani inayomfaa Nchemba si nyingine bali upiga debe au hata ukora ukiachia mbali uzin... malizia.
 
anasema wananchi wamechangia hela kidogo kwenye ujenzi wa sekondari za kata nyingi zimechangiwa na serikali!hajui kuwa hela za serikali zinatoka kwa wananchi kwa njia ya kodi!halafu anajiita mchumi daraja la kwanza!lameck mkumbo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom