Huu ujanja wa vigogo wa TRA utazamwe kwa makini, ni hatari sana

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Sasa wanatumia majina ya ndugu zao kwa umiliki wa mali zao, hii ni baada ya kuombwa na Serikali kuwasilisha hati za umiliki wa mali zao.

Wengine wanatumia majina ya watoto wao, shangazi, wajomba na ndugu wengine ili mradi tu Serikali isigundue.
 
Sasa wanatumia majina ya ndugu zao kwa umiliki wa mali zao, hii ni baada ya kuombwa na serikali kwasilisha hati za umiliki wa mali zao.Wengine wanatumia majina ya watoto wao,shangazi,wajomba na ndugu wengine ili mradi tu serikali isigundue.

Hata hati za nyumba nazo zimeandikwa kwa majina ya ndugu na jamaa zao? Au wameamua kupeleka orodha ya mali za jamaa na ndugu zao badala ya mali zao?
 
Kwanza vigogo wengi wa tra wamepewa posts kutokana na mfumo wa ccm na wanaccm. Hivyo ndo maana wote wamebadilisha miliki zao.hali ni mbaya sana labda magufuri aanxishe utaratibu wa ajira kwa mikataba ya miaka mitano kwa taassi kama tra,tpa,atcl,tanapa,ngorongoo creater ili nawao wawe kama eura
 
Shtaka ni uhujumu uchumi linawatosha kuhusu ushahidi wananchi wanaona na kuwaelewa kindakidanki serikali isipoteze muda nao.ndiyo mana nchi hii watu wameichezea wawezavyo.mh.raisi tuangalie watanzania wako ili iwe fundusho kwa wote wenye tabia hizi
 
Hata hati za nyumba nazo zimeandikwa kwa majina ya ndugu na jamaa zao? Au wameamua kupeleka orodha ya mali za jamaa na ndugu zao badala ya mali zao?

Ndo wanafanya kazi ya kumilikisha sasahivi kisirisiri ndugu.
 
Uchunguzi ufanyike, kama transfer zinafanyika sasa hivi hapo kuna namna, lakni kama watu wanamiliki tangu mwanzo basi hayo yanaweza kuwa majungu tu
 
Kwanza vigogo wengi wa tra wamepewa posts kutokana na mfumo wa ccm na wanaccm. Hivyo ndo maana wote wamebadilisha miliki zao.hali ni mbaya sana labda magufuri aanxishe utaratibu wa ajira kwa mikataba ya miaka mitano kwa taassi kama tra,tpa,atcl,tanapa,ngorongoo creater ili nawao wawe kama eura

Nishakudharau tayar, waanxishe ndio nini?
 
Ndo wanafanya kazi ya kumilikisha sasahivi kisirisiri ndugu.

Watakuwa wanajisumbua,maana what I know kila mtu mali yake ishajulikana na inajulikana,walishafanyiwa inspections na serikali tayari ina orodha ya hizo mali kama ilivyofanya kwenye orodha ya makontena, hivyo wakifanya hio transfer ndio itazidi kuharibu zaidi na intentions zao mbaya zitajulikana zaidi.
 
Serekali ina mkono mrefu yoyote atakaye ficha (conceal )mazalia ya uhalifu (proceeds of crime) ajue wazi akibainika atawajibishwa
 
Hao ndugu zao wachunguzwe, waeleze na kuonyesha wanafanya nini na hicho wanachofanya kimewezaje kuwalipa na kupata mali walizo nazo. Simple n clear
 
Mtu anaefanya shughuli zake binafsi hawezi kukoa majibu ya kutoa hapo. Sema wakiwafuatilia vizuri wanaweza kawabana kwa kukwepa kodi ambalo linaweza kuwatia hatiani zaidi jamaa zao wanaofanya kazi tra.
 
Watakuwa wanajisumbua,maana what I know kila mtu mali yake ishajulikana na inajulikana,walishafanyiwa inspections na serikali tayari ina orodha ya hizo mali kama ilivyofanya kwenye orodha ya makontena, hivyo wakifanya hio transfer ndio itazidi kuharibu zaidi na intentions zao mbaya zitajulikana zaidi.
Mfano mtoto wa masamaki akutwe anamiliki nyumba ya 200 ml toka yupo darasa la 5, serikali au mtu mwenye akili atakubali kuwa ni yake huyo mtoto?
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mfano mtoto wa masamaki akutwe anamiliki nyumba ya 200 ml toka yupo darasa la 5, serikali au mtu mwenye akili atakubali kuwa ni yake huyo mtoto?

Huo ndio uongo wenyewe, itabidi atuambie hela za umiliki amezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom