Wabongo wengi tungekuwa mbali kama tungeachana na mambo haya kwenye familia zetu.
a Ulevi
b Ngono
c Hatuangalii tunakokwenda
jaribu kutafakari kwa mwezi umetumia shilingi ngapi kwa simu yako ya mkononi?je ilikuwa lazima? je kwa mwaka ?
ha ha ha mkuu kilaji ndicho kinacho kinachomfanya mtu atafute kwa bidii, kumbuka pia Human being is a 'Social being' haya mambo huwezi kuyatenganisha otherwise tija ya mtu huyu itazorota. Similarly, swala la mawasiliano. Hapa ni swala la kiasi, lakini sio kuacha.
Swala sio tusitumie kinywaji.ila kuchuna mabuzi,majisifa ya kuwalipia washkaji mapombe kibao,nyumba ya pili nk.kwenye nchi za ulaya sijaiona kama tambalare kwetu.
Sina maana tusitumie kama kilaji ,ila Mapombe bila mpangilio ,masifa kuwalipia mapombe washkaji ,nyumba ya pili hii ulaya haipo au kwa vile Bongo yetu Tambarare?HIV je?
Wabongo tumezidi kwa kweli, ukipita saa tatu watu wapo baa, wanafanya kazi saa ngapi kama sio ufisadi. Kuna watu hata wahajui ladha za vitanda vyao maana ni kilaji na totozi kwa kwenda mbele bila kusahau wapambe, Tutafika kweli? Tunahitaji kubadilika, kila kitu kwa kiasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.