Huu ni unafiki suala la katiba

Epa,nec,iptl,bei za umeme,nauli kupanda,kuiba kura,udikteta,mfumuko wa bei ndo vitu vinavotufanya tudai katiba mpya kama ujielewi omba msaada kwa wanazuoni au kaa kimya. Watu wana sababu za kudai katiba kupitia vitu kama ivo. Kama unadhani katiba ni pambo kama picha ya jk ktk maofisi ndo unaweza kuisi kuwa vitu ivi havihusiani na katiba. Ila kwa wanazuoni ambao wameelewa kutoka ktk learning classes,wanaelewa kwa nini ivi vitu viko related na matatizo ya katiba. Wala watu hawaoni taabu kujua upuuzi wa serikali yetu ni kwa sababu ya kutofata sheria za nchi,sana sana sheria mama-KATIBA.
 
Tunahitaji katiba tulioitunga sisi wenyewe kwa maslahi yetu sote,na sikuweka viraka katika katiba ya wazungu,hii ni kwaajili ya uhuru kamili,wewe ukisema unafiki hueleweki wote hao matakwa yao ni mammoja katika mtazamo tofauti bana.
 
Back
Top Bottom