Huu ni uhuru gani Ludewa?

mokomoko

Member
Nov 18, 2011
29
8
serikali ya halmashauri ya wilaya ya Ludewa, leo ilihagiza wafanya biashara wote kufunga sehemu zao za biashara baada ya kugundua kwamba zoezi la kuazimisha miaka ya 50 ya uhuru wa Tanzania bara halitakuwa na maudhurio mazuri. wilaya ya Ludewa leo ilkuwa na ugeni mkubwa kimkoa kwani sherehe hizo za uhuru leo zilikuwa zikifanyika wilayani ludewa kimkoa, askari walikuwa wakipita duka hadi duka, bar hadi bar kuakikisha watu wanafunga biashara zao na kuhudhuria sherehe hizi ambazo waudhuriaji walikuwa watoto wa alahiki pamoja na wafanyakazi wachache wa serikali. ningewaonyesha picha lakini kwa kuwa ni aibu sana tuache tu
 
hawajui uhuru ni kazi na uhuru unataka ufanye kazi. wanafikiri wafanya biashara watapata wapi hela ya kuwalipa TRA na halmashauri yenyewe bila kusahau michango mingi ukiwamo wa mwenge - michango inayodaiwa bila kuangalia mizania ya biashara!!
 
hawajui uhuru ni kazi na uhuru unataka ufanye kazi. wanafikiri wafanya biashara watapata wapi hela ya kuwalipa TRA na halmashauri yenyewe bila kusahau michango mingi ukiwamo wa mwenge - michango inayodaiwa bila kuangalia mizania ya biashara!!
Nchini Tanzania mamlaka za kiserikali zianatumika sana kuwakandamiza WATU wa chini waishio vijijini na sehemu Kama Ludewa. Mgambo vijijini wanawanyanyasa raia kila kuchwao kwa visingizio mbalimbali. Uonevu huu ni sisi wananchi wenye wajibu wa kuutokomeza. Tuanze kwa kupiga kura...Ludewa ni moja ya wilaya iliopata mbunge bila upinzani ambayo ni dalili ya WATU walio pitwa na wakati.
 
Kwani hizo sherehe ni kwa faida ya nani???.

Watawalazimishaje wa2 wakasherehekee uhuru na kuwanyima uhuru wao wa kufanya biashara.

Ukiona hivyo ujue wa2 hawaoni umuhimu wa hiyo sherehe.Kwan umejaa usanii m2pu.

2methubu2 2meweza na sasa 2nasonga mbele kweliiii?!!!?????
 
Hakuna suala la ajabu hapo, Ludewa ni moja ya wilaya chache sana ambazo bado enzi za Chama kushika hatamu, ukidai haki yako unaambiwa wewe ni mpinzani, Afisa utumishi wa wilaya alifukuzwa kazi kwa kukataa maagizo ya mbunge wao!!
 
Back
Top Bottom