Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Ha ha ha ha! Kivipi? Hapo hakuna mtu kasema kitu. Asa si wewe ndo una mawazo potofu, au?Acha mawazo potofu ndugu
Wana matatizo gani kwani? Mbona picha inajieleza kabisa?Mbona wana jf hamueleweki? What is wrong with you????
Yaani Cantalisia hata kwa hili mungu nae anatajwa?Dah! huo mti mbwana,
Achen mungu aitwe mungu!
Dah! huo mti mbwana,
Achen mungu aitwe mungu!