Huu mtandao wa nani/wapi?

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,624
Hi wana JF?

Je kuna njia ya kuweza kujua hii blog imefunguliwa wapi mji,nchi etc?

udakuspecial.blogspot.com

Cheers!
 
kaka hio blog imekua hosted blogspot, blogspot ni ya marekani

Kutokana wabongo tunatumia hosting kama hizo hata uki crawl hutajua aloanzisha katoka nchi gani zaidi utaambiwa server located usa
 
Back
Top Bottom