Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Mbona Rais Sheni wa Zanzibar magari yake ni machahche?
Huyo moga sana ,anaogopa kivuli chake
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Marekani hawana ujenzi wa shule, hosps, barabara, vyuo n.k
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Kwa nini uhangaike kuandika yote hayo mkuu.

Ungeandika kwa kifupi sote tungeelewa unachosema.

Kwa mfano ungeandika hivi:
"Kuwa na msafara wa aina hiyo ni alama nzuri ya kupendwa sana na watu anaowaongoza nchini mwake."

Hii ingetosha kabisa kufikisha ujumbe wako.
 
Maneno baadhi nisingeyapa haki yake yakutumika,,bora yametumika nayo yakajihisi yapo dunia😄
 
Kwa taarifa yako kama hujui huyo ndo Rais anaelindwa zaidi Africa.Unashangaa V8 ulitaka atembelee nini?Ndio mojawapo ya matumizi ya kodi zetu.
 
Raisi ni taasisi.. Siyo sawa na mtu baki.. Hapo kuna delegation nyingi kulingana na tukio analoenda kufanya..

Poa ikimbukwe protokali za kiusalama lazima zizingatiwe. Kwanini?? usiumize kichwa chako kama hujui maana na intelijensia.

Sent using Samsung S6 Edge
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Baelezee mkuu. Ndio maana watanzania tunashushwa thamani sana. Tunapenda kutoa hoja kabla ya kuzitafakari..

Sent using Samsung S6 Edge
 
Back
Top Bottom