Hussein Bashe azidi kupigilia msumari wa ncha 20 kwenye jeneza la CCM...

kwa kweli bashe amekomaa kifikra,NA KIKUBWA ZAIDI SI MNAFIKI,he made it crystal clear,tanzanians need people like bashe.
 
ndugu wana jf ,kwenye facebook ya Uvccm Arusha mjini wamemfagilia mkuu wa mkoa Arusha na kumtuhumu Mh Bashe kwa kutumika na CHADEMA
 
Utawachukia sana wasema kweli kwa kupenda uongo.Yaani wewe hata MUNGU akisema ukweli kuhusu ccm.Utampinga kama unavyompinga Bashe.Ongera Bashe kwa kuona tatizo na kuusema ukweli wakiyatendea kazi wananchi tutawaamini.Ila jua wapenda uovu watakuchukia kwa huu ukweli uliouongea.Mungu akulinde.

na baba wa uongo ni shetani,maana aliuanza tangu hapo mwanzo kwa kumdangaya Hawa/Eva,na yeyote asemaye uongo ni mfuasi wa shetani
 
Sasa hii tabia ya huyu, ndio haswa tabia ya wana CCM wa enzi zilee za Mwalimu....Sasa angalia magalasa ya magamba yatakavyo mdeal!
 
Bashe amethubutu,lakini angalie wasije kumng'oa meno na kucha kwa plaizi isio na ganzi.maana hawa maccm hawataki kuambiwa ukweli,kwa maovu yao bali wanataka wabembelezwe,Bashe kaa chonjo,Watakuzushia kuwa wewe sio raia wa Tanzania,bali ni mkimbizi,kwa kuwa unawaangalia mdomoni wakati wanataka kumeza tonge la ugali,utaambiwa hauna adabu,njoo kwenye kamati ya maadili ya chama.
 
Mkuu Ng'wamapalala hua unajua Kingereza na kukiandika vizuri kweli, shida moja hua inanisumbua hua ni hii, mbona comments zako nyingi zinazohusu nchi hua huonekani kama ni msomi? hii kitu hua inanisumbua sana mkuu.
Mkuu wala isikusumbue sana. Ni kawaida kabisa kwa binadamu kuyajongea mambo tukiwa na mitazamo miwili tofauti na hata angalizo mara nyingi huwa pia lina mitazamo tofauti kati ya binadamu na binadamu. Kwangu ninachokiona kama ni YES inaweza ikawa kwako ni NO.

Cha muhimu kabisa katika taifa endelevu ni kusimama katika natural justice, kwa maana kuwa lazima tukubali kutokubaliana while ACTING FAIRLY TO EACH AND EVERY PERSON.
 
Bashe Huseni Bashe. "wakati mwanachuo kauwawa na kibaka, serikali inatumia mabonu na rundo la maaskari kumkamata mtu mmoja kwa sababu tu si wa ccm" umeiva na kukomalia mtini. Umekuwa huru kwa kuwa umeutambua ukweli. Hakika wewe ni kamanda mpya.
 
kwenye siasa kuna mbinu nyingi, hapo kuna mawili kwa siasa zetu za bongo, kwanza inaweza ikawa kweli ana dhamira ya dhati lakini kwa namna nyingine inaweza ikawa ni mbinu ya kuwa-win wananchi ili wawe upande wake mwisho wa siku anaingia ulingoni kwa kasi ya ajabu. All in all, jamaa amejitahidi kuonyesha kile ambacho watu wengi huwa hawakiangalii

mkuu take it frm me true politician ayuko ccm wote wanafiki only way kwa bashe kutuonyesha ayuko na akubaliani na haya ni kutoka ccm else unafiki mtupu sikatai waweza kukaa africasana bar na mkeo na bado akaitwa malaya unajua kwa nini ni mazingira yaliopo yanasomeka n sehemu ya kutafta mizigo mkuu bashe take note: Mwanasiasa wa kweli atatoka nje ya ccm not inside ccm getout
 
Nao UVCCM wakamjibu hivi!

UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-2.png
 
Nao UVCCM wakamjibu hivi!
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-2.png
Hili nalo neno, mapambano naona yanaendelea maana wanasiasa wetu siasa ndio sehemu ya ajira yao hivyo hata kuendelea kujibizana ni sehemu ya kazi pia. Ukiona wanajibizana hivi ujue hata kwenye vikao vya ndani huwa hakuna nafasi ya kutoa changamoto mbalimbali na ndio maana wanakimbilia kwenye media (tunashukuru hata hivyo kuna vitu tunajifunza)
 
Back
Top Bottom