isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 823
Kwahiyo deni lingegutikaa mkuu?sasa hivi wangekuwa huru kama sio jecha

Kirefu cha TANESCO ni kipi ?Hawa wanasema tunawanyonya kumbe wao ktk swalala umeme tu ni kama kupe ambaye amesha shindikana kunyofolewa toka kwenye mfugo.
Sasa kama sisi ni mzigo kwanini musivunje muungano?Msiwe wajinga kwani nyie hamna akili mpaka mkubali kuburuzwa na Tanganyika. Tatizo viongozi wenu maccm ya huko yanaendekeza njaa kila mwaka wa uchaguzi.mkiungana mkawa Kitu kimoja mkolono mnamwangusha.endeleeni kulalamika kila siku
Kakojoe ukalele huna unalolijua, punguani wahedGawio lenu kutoka wapi? Hamlipi kodi nyie
Zinatafunwa kweli kweli na walinzi wa Muungano.more than 95% ya wateja wa zeco wanatumia prepaid electric meter, ni vipi hela isiwepo?
Toa hoja sheikh matusi ni dalili ya kuishiwa hojaKakojoe ukalele huna unalolijua, punguani wahed
Hawa wanasema tunawanyonya kumbe wao ktk swalala umeme tu ni kama kupe ambaye amesha shindikana kunyofolewa toka kwenye mfugo.
Heshima kwenu wakuu,
Nimesikitishwa sana baada ya Kusikia kauli ya Rais Magufuli kwa Zanzibar isipolipa deni la umeme ikatiwe Umeme. Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) inadaiwa na TANESCO Tsh 121 billion ($54.1 million).
Tuwaonee huruma hawa wenzetu wazenji, tuwasaidie tu. Bajeti ya Serikali ya Muungano wa Tanzania 2016/2017 ni Trilioni 29.5, Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7 huku Bajeti Zanzibar iliyotangazwa ni shilingi bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 445.6 zitatumika kwa matumizi ya kawaida (chai, mishahara n.k.) na shilingi bilioni 395.9 zitatumika kwa kazi za maendeleo.
Pili, vyanzo vya mapato vya bajeti hiyo ya Zanzibar ni Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kukusanya shilingi bilioni 188.8, wakati Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) itakusanya shilingi bilioni 237.4. Kwa hiyo, jumla Wazanzibari mtakusanya shilingi bilioni 426.2 ambayo ni chini ya nusu ya bajeti nzima.
Piga ua hawana uwezo wa Kuilipa TANESCO ndani ya mwaka huu. Labda kama waseme hawatalipa Mishahara.
Nawaonea Huruma sana, Poleni Wazanzibari ila Ukupigao ndo ukufunzao, Ndo mkome kufanya mambo kwa mkumbo.
Zanzibar hawana uwezo wala ubavu wa kulipa hili deni.
Sisi tunafaidika na huu muungano nyie ambao tunawanyonya ndo mnatakiwa kuamka kutoka usingizini mjikomboe.Sasa kama sisi ni mzigo kwanini musivunje muungano?
Kwahiyo deni lingegutikaa mkuu?
Kama ni kweli ZECO Wana hoja ya Msingi. Lakini kwanini hawakupinga hili EWURA wakati wa kupitisha tarrifs?Heshima kwenu wakuu,
Nimesikitishwa sana baada ya Kusikia kauli ya Rais Magufuli kwa Zanzibar isipolipa deni la umeme ikatiwe Umeme. Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) inadaiwa na TANESCO Tsh 121 billion ($54.1 million).
Tuwaonee huruma hawa wenzetu wazenji, tuwasaidie tu. Bajeti ya Serikali ya Muungano wa Tanzania 2016/2017 ni Trilioni 29.5, Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7 huku Bajeti Zanzibar iliyotangazwa ni shilingi bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 445.6 zitatumika kwa matumizi ya kawaida (chai, mishahara n.k.) na shilingi bilioni 395.9 zitatumika kwa kazi za maendeleo.
Pili, vyanzo vya mapato vya bajeti hiyo ya Zanzibar ni Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kukusanya shilingi bilioni 188.8, wakati Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) itakusanya shilingi bilioni 237.4. Kwa hiyo, jumla Wazanzibari mtakusanya shilingi bilioni 426.2 ambayo ni chini ya nusu ya bajeti nzima.
Piga ua hawana uwezo wa Kuilipa TANESCO ndani ya mwaka huu. Labda kama waseme hawatalipa Mishahara.
Nawaonea Huruma sana, Poleni Wazanzibari ila Ukupigao ndo ukufunzao, Ndo mkome kufanya mambo kwa mkumbo.
Zanzibar hawana uwezo wala ubavu wa kulipa hili deni.
View attachment 477887
Hii ilikuwa Mwaka jana 2016 ambapo bodi ya Mapato Zanzibar(TRA yao) walipoifungia Milango ZECO kwa kushindwa kulipa kodi. Sasa leo Bil 121 watatoa wapi? Hawa Wazenji japo wanajitutumiua na kuongea kishujaa, nawaonea huruma sana.
===========
Hoja ya nyongeza....
KUMEKUCHA
Wazanzibar wadai hili Si deni, bali komoa komoa
Taarifa kutoka Z’bar zinaeleza kuwa kuchelewa kulipwa kwa deni la umeme hadi kufilia Bilioni 121 kunatokana na Shirika la Umeme la huko (ZECO) kutokubaliaa na gharama za umeme wanazotozwa na TANESCO.
Imeelezwa kwamba sio kweli kwamba ZECO hawataki kulipa deni, isipokua hawataki kulipa kwa viwango vilivyowekwa na TANESCO. Kwa mujibu wa viwango vya gharama za umeme vya TANESCO, ZECO wananunua umeme kwa gharama zilezile ambazo TANESCO wanauza kwa wateja wengine wa bara.
Hoja ya ZECO ni kwamba haiwezekani TANESCO wawauzie umeme kwa viwango wanavyouziwa wateja wengine kwa sababu TANESCO haihusiki na gharama za kuweka miundombinu ya umeme Zbar wala matengenezo yake.
Afisa mmoja wa ZECO niliyezungumza nae kwa simu na hakutaka jina lake liwekwe wazi amesema “Tanesco kutucharge gharama sawa na wateja wengine ni unyonyaji. Kama miundombinu yote tunaweka wenyewe (nguzo, transforma, nyaya, etc), bado mishahara ya wafanyakazi tunalipa wenyewe na gharama za uendeshaji, pia tunafanya maintanance wenyewe, kwanini Tanesco watuuzie umeme sawa na wanavyowauzia wateja wengine?”
Mvutano huo kuhusu bei za umeme ambazo ZECO wanapaswa kulipa TANESCO ndio umesababisha deni hilo kufikia Bilioni 121 kwa sasa.
Mimi nashauri walipe kwanza deni halafu ndo walete malalamiko yao. Kama wanaonewa kwanini waendelee kutumia umeme? Mkiendelea kutunisha msuli tutawakatia kweli. Yaani ningekuwa Tanesco ningetoa mapendekezo tuwakatie umeme na kung'oa nguzo tuwapelekee wenye uwezo wa kulipa kama tulivyo ng'oa reli ya kwenda Mtwara mataaluma tukawapelekea wenye matumizi ya treni
Deni halilipwi na wala umeme haukatwi wenyewe wanasema wanadai fungu lao hawajalipwa zaidi ya miaka 20 mbona miaka hii tutajua yaliyoko chini ya zuliaNa mimi nasisitiza walilipe tu hilo deni
Na weweeeee!! Kwani hawajui wajibu wao? Kwann wanahitaji UMEME wakati hawana uwezo wa kuulipia?Heshima kwenu wakuu,