Huruma iliyozidi kipimo

kwani yupo na mademu wengine tena? No sidhani jamaa anaonekana mtu safi....:frown:
kwa sasa hana demu labda ... Lakini haina maana akishaoa ndiyo hata penda wala kupendwa.. Je akitongozwa atakuwa anaendelea kutoa taarifa?
 
halafu mkuu unawahi kuoa ila akili yako bado hajpevuka utateseka sana........... HIVI WANAUME WA SIKU HIZI UWANAUME WENU MMEUACHA WAPI?

Mkuu nitake radhi niko na 30+ bado unaona nimewahi.

Nyie wanawake mkoje sijui tukiwapenda kwa dhati mnatuona kama sio wanaume tukiwa kama babu zenu mnatuona wanaume makatili
 
ndiyo maana nimekuambia ujapevuka kuwa 30+ hizo ni namba tu mkuu... jiulizeutaweza ishi na mwanamke ?...... ndiyo kasha kutumia shemeji akupime sijui kakuonaje kwanza .. kuwa makini na hiyo ndoa unayosema demu wako anahuruma sana.. vitabu takatifu inasema tuwe na kiasi,.. we unamwamke anahuruma zaidi? huoni kama pana shida?

huoni kama kakuonea huruma atatoa madudu humo ndani?

juoni kama shida ndiyo inampelekea yeye kuolewa?
sasa kama kakutumia jua kuna uwalakini hakuamini.. pia shemeji anakuona unapenda mbunye sana
 
Dah!? Unaakili sawa wewe binti kuna point naiona hapo sikuwa nimeizingatia acha niwe ---- kwa kupiga kimya.
Ahsante kwa kunisaidia Miss chaga
 
hizi ni stress kabla ya ndoano.....
sorry mkuu unatumia kinywaji gani.... kama spaleta,,,subiri ukue,,,, kama ni vilevi.... muite huyo shemeji, mkanye live....akimwambia mchumbako wakalishe wote chini waambie ninaoa mmoja, sitaki umbea sitaki uduwanzi.......
 
Sawa,wasi wasi wangu kama ni mtego na nikiuchuna inaweza kumpa picha mbaya mke wangu mtarajiwa kuwa inaweza kuwa mtego wao umenasa kimya kimya

mtego utakuwa umekunasa wapi wakati hujachepuka au ndio wataka kufanya kweli unajilizaliza hapa ndorobooooo
 
halafu mkuu unawahi kuoa ila akili yako bado hajpevuka utateseka sana........... HIVI WANAUME WA SIKU HIZI UWANAUME WENU MMEUACHA WAPI?

Da kweli kabisa anaoa lakini bado akili ndogo sana, mara ooo nikaseme kwa mke wangu ili tu uonekane we mzuri zaidi acha ujinga huyo shem wako mega kisela haimaanishi haumpendi mkeo, hio story yake ipindue to your advantage mega then unaoa unaempenda story kwisha
 
Anataka kwenda kusemelea eti anapewa papu na shem
 
Nina hakika huyu mtoa mada atakuwa huyu ni mwanamke wake wa kwanza au wa pili...maana watu wa sampuli hii ndo huwa na akili hizo za kila jambo unaloambiwa uanataka kumepelekea mkeo...acha ufala tuliza kipele..
 
Back
Top Bottom