Huruma iliyozidi kipimo

[ QUOTE=Kaunga;13190145]Mwaya ongea na mchumba wako, mwambie asimuamini best wake 100%. Usimpe details lkn make it in a way kwamba now that she is going to be a wife aevaluate uhusiano na kuuredefine ili 'usiingiliwe na ibilisi'.

Kunyamaza totally kutakuletea tatizo. Na next time akiomba appointment record hiyo conversation na ikiwezekana atakachokuambia just in case.

Msingi wa uwazi na kuaminiana kwenye ndoa ni muhimu. Angekuwa sio rafiki yake ungeiua bila kumwambia. Lkn kwa vile ni rafiki tena ni chakaramu huwezi jua motives zake. Anaweza kukugeuzia kibao.[/QUOTE]

Hilo nalo neno ahsante mkuu ngoja nianze hivyo najua atataka kuchimba mambo kiundani na hapo lazima atamface shost ake, afu baadae shoga ake lazima atanitafuta hapo ndio nitakapo mrecord
 
shikwashikwa mchumba unayemzungumzia ndio yule mdogo wako alikutangulia?

Blaki womani,
Yaani ndio huyo huyo hata ukisoma comment fulani kwenye ule Uzi kuna jamaa alitaka kujua mazingila tuliyokutana...."chuo nilienda na rafiki yangu alikuwa akimtembelea mdogo wake (chakaramu) sasa ka wiki haka kananifanya kichwa kiume...kesho naanza safari ya kurudi kesho kutwa itakuwa ni siku ya maswali na majibu kwa mtarajiwa wangu.
 
Last edited by a moderator:
Na hiyo huruma ya Mke-mtarajiwa angalia isije ikapita kikomo, akaanza kuwahurumia makapera wa mtaani, jinsi wanavyoteseka na baridi usiku.:director:

Mkuu huko hata siwazi yuko mbali sana na mapenzi..ndio maana nahisi labda shost ake anamsaga...maana ujasiri wa kunitamkia kuwa hataki nimsaliti mke wangu mtarajiwa naiwaza sana
 
Tatizo mbinu aliyotumia kaja kikondoo mno ni ngumu kujua kama chui...ndio maana inakuwa ngumu.

Hakuna ugumu hapo. Kwanza huyu kawa muwazi kabisa.Yeye anashindwa jinsi ya kusema direct. Ukimwambia nataka hawezi kukataa na hawezi kumwambia mpenzi wako. Bado akimwambia una uwezo wa kumkana. Nguvu yako kwa mpenzio ni kubwa kuliko yeye kama huyo mke anakupenda. Bado unaweza kumkana endapo atamwambia mpenzi wako nawe kumgeuzia kibao kwamba alianza kukutaka ukawa umekataa. Atakuwa hana ushahidi wowote. We bwana naona mgeni sana kwenye mambo. Haya mambo yapo mkuu. Wanawake wote wana asili ya kuoneana wivu hata kama wameshibana vipi.
 
Back
Top Bottom