Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 146
- 340
Kwa Mujibu wa nadharia za kisayansi, Binadamu na Sokwe ni wanyama ambao wanatoka katika Familia za karibu sana katika Ufalme wa Animalia. Zaidi ya DNA zetu zinafanana kwa zaidi ya asilimia 95%. Hivyo kuwafanya hawa kuwa ndugu zetu wa karibu kabisa.
Vile vile katika historia tunaambiwa kwamba Binadamu asilimia tumetokana na Sokwe kwa Mujibu wa kisayansi. Kupitia hoja hizi mbili za DNA na Human Evolution kuna maswali mengi yamepatikana kutaka kujua kama kunawezakana hawa viumbe wawili wakaweza kuzaliana na kutengeneza Hybrid ya Binadamu na Sokwe, kwa sababu tunaona wanyama kama Farasi na Punda wameweza kutengeneza Hybrid zao, wanyama kama Simba na Tiger pia Hybrid zao zipo. Vipi kuhusu Hybrid ya Binadamu na Sokwe.
Katika pitapita zangu nikakutana na hii video.