Human inteligence

Edwiny

Member
Jun 14, 2011
34
1
Im asking and looking for information if it is posible for a person to in crease his inteligence and also abilite to think fast,please any one to help.
 
Im asking and looking for information if it is posible for a person to in crease his inteligence and also abilite to think fast,please any one to help.

Mkuu unataka kuongeza intellegece...kwa kuthink faster... !

sidhani kuthink fast ..ni kuwa na intellegence iliyoongezeka ...tuone wengine wanasemaje!
 
Im asking and looking for information if it is posible for a person to in crease his inteligence and also abilite to think fast,please any one to help.
1. Mheshimu sana Mungu na watu wote wanaokuzunguka

2. Soma vitabu kwa sana vyenye mada zinazohusiana na ufahamu

3 Sikiliza makala kwa sana, zinazohusiana na maswala ya ufahamu , hasa kutoka kwenye channel za maana kama Dicovery Channel, National Geographic channel, etc

4. Sikiliza makala za maana kutoka kwenye mtandao wa komputa, kwenye site maarufu kama vile youtube na site zingine zinazofanana na hizo

5. Muda wote uwe na tabia ya kuwasikilize viongozi wa Nchi yako wanapokuwa wanahutubia umma, wote kutoka chama tawala na vyama vya upinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom