kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Hello bosses...
Em tutafakari kidogo.
Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio maana kuna milipuko ya magonjwa ya ajabu kama vile kansa.
Tunalazimisha miili yetu yenye physiology ya kizamani(Ancient Bodies) kuishi maisha ya kisasa kitu ambacho kinapelekea watu kuishia kuwa na depression na kujiona hawafai.
Mazingira yetu yanabadilika kwa kasi kubwa zaidi na zaidi ukilinganisha na speed ya miili yetu kubadilika (evolution) ili kuendana na mazingira hayo. Hivyo tunajikuta tunalazimisha mambo ambayo kiukweli miili yetu haiwezi.
MIFANO.
1) Ukiangalia historia inasema zamani watu waliishi kwa kuwinda na kula matunda hapa watu waliishi miaka mingi na walikua na amani, lakini mabadiliko yakaja ikaingia issue ya biashara(trading) hii ikaleta matabaka coz kuna watu walitaka kuwa na vitu vingi zaidi kwenye hazina zao ili wawauzie wengine na ikapelekea kuwepo kwa empires, mambo ya utawala yakashika kasi. Hiyo ikaanza kuleta vita, njaa (kwa wasio na vyakula coz mabwenyenye walijilimbikizia) pamoja na madhara mengine ambayo yakapelekea kupunguza lifespan ya binadamu.
Mfano huo unaonesha binadamu (ANCIENT HARDWARE) hakuumbwa/hakuumbika kwa ajili ya issue za biashara (NEW SOFTWARE) lakini aliumbwa au kuumbika ili kusettle tu na kutumia kile ambacho nature itampa. Lakini kwa kufanya kosa moja (kuanzisha system za biashara) kunafanya tuendelee kufanya makosa tukidhani ndipo tunasuluhisha kosa la awali lkn kiukweli tunatengeneza makosa zaidi.
2) Mfano wa pili ni hizi tafiti zinazoendelea kila kukicha. Ni wazi tafiti nyingi zimeleta madhara makubwa tukianza na E = mc^2 ilozalisha bomu la nuclear na kufanya mauaji ambayo hata washambuliaji walilalamikia maamuzi yao. Pia virus nyingi zinatengenezwa kwenye labs. Zamani kwenye history hakukuwepo haya mambo ya virusi kama HIV au CORONA. Ugonjwa ambao hata zamani ulikuwepo ilikua ni homa(common cold)
Kuna mifano mingi sana ambayo ukiangalia inaonesha wazi kuwa miili ya binadamu physiologically haijaumbwa kwa ajili ya mazingira ya sasa ambayo bado tunahangaika kuyaharibu tukidhan tunaboresha hivyo kutengeneza matatizo na magonjwa mapya kila kukicha.
Hii ni kama kuweka software mpya yenye mahitaji makubwa kwenye computer ya zamani ambayo hardware zake (processor na memory) haziwezi kubeba huo mzigo. Ukizingatia physiology ya miili yetu inabadilika polepole sana ukilinganisha na jinsi mazingira yanavyobadilika.
So ukiona unashindwa kwenda na trends za sasa kama vile mambo ya modern education, business, working pressure, social media etc.... usijione haufai bali ndivyo inavyobidi uwe coz binadamu sote ni viumbe vyenye miili ya kale(ancient bodies with ancient physiology) na haujaumbwa au kuumbika kwa mabadiliko hayo unayoyaona. Na hao wanaoenda navtrend ujue deep down wanalipia gharama kubwa(gharama sio kwa maana ya hela tu) kwa sababu hawakuumbwa kwa ajili hio. Ndio maana wanaoongoza kwenye masomo(modern education) utakuta wanabidi watumie mda wao mwingi sana kusoma, wanaokuwa ma-CEO utakuta wanatumia mda mwingi kazini hivyo kukosa muda wa kukaa na family zao na wengine hupata obesity na depression.
LIVING IN 21st CENTUARY IS LIKE RUNNING NEW SOFTWARE ON OLD HARDWARE
Peace
~Kali Linux