Hukumuni...................... ...

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Mwanahistoria,padri na mwanafizikia walikufa wakafika mbele ya mwenyezi Mungu.Mwenyezi Mungu akawaambia..."atakaejibu maswali yangu vizuri ataingia mbinguni".akaanza na mwanahistoria;
Mungu;ni ajali gani mbaya kuwahi kutokea duniani?
Mwanahistoria;ajali ya meli
Mungu;safi ingia mbinguni
Mungu;haya,we padri,hiyo meli ilikuwa na watu wangapi?
Padri;1500
Mungu;safi ingia mbinguni
Mungu;mwanafizikia,umesikia meli ilikuwa na watu wangapi?
Mwanafizikia;1500
Mungu;nitajie majina yao!!
 
mamaaa, mh!labda kwa kuwa ni joke...ila God is fair bana
but
nimecheka...
 
Mungu alimwonea mwanafizikia kwa swali gumu kama hilo hata angetunia fomula ya Enstein E=MC[SUP]2[/SUP] asingepata
 
Hapo mungu nadhani nafasi alizokuwa nazo zilikuwa mbili tu, ndo maana kampiga pini jamaa hili angemgonga Padre.
 
Back
Top Bottom