Hukumu ya wanaonyonya sehemu za siri

Habari zenu Wakuu,

Kama tunavyojua kuwa ukifanya jambo baya basi malipo ni kesho kwa Baba au hapahapa Duniani.

Sasa leo nataka nikujuze hukumu za watu wanaonyonya sehemu za siri hapa Duniani na huko Mbinguni.

Tukianzia hapa Duniani, hukumu yao muumba kashaiweka wazi kuwa ni kansa ya koo.

View attachment 2854899

Hukumu nyengine kubwa zaidi ni kuchomwa kwenye moto wa milele maana wamemkosea muumba kwa kutumia njia ya chakula kuigeuza njia ya ngono.

HIZO NDIO HUKUMU/MALIPO YA WANAONYONYA SEHEMU ZA SIRI.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Johannesburg South Africa
Wao watafiti wanadai kuwa too much is harmful zingatia hilo sio kila game unazama uvinza baadae utajisahau utaanza kuzama topeni nalo ukaona tamu jamii itakushangaa kijana vp tena?
 
Wao watafiti wanadai kuwa too much is harmful zingatia hilo sio kila game unazama uvinza baadae utajisahau utaanza kuzama topeni nalo ukaona tamu jamii itakushangaa kijana vp tena?
Hakuna cha Too much wala nini.

NGONO YA MDOMO INA MADHARA FULLSTOP.
 
Walikuja wengi na picha za kutisha za kansa ya koo lakini walipita, sasa wewe ni nani mpaka ututishe sisi walamba papachu shenziiii.
Hakuna anaekutisha.

MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.
 
Kuna mambo Huwa yananishangaza sana nikiyasikia:-

1.mwanammme ku disa mbele ya mwanamme mwenzake!! Najiuliza hisia anazitoa wapi!!

2.Mwanamme kulamba Kwenye uchi wa mwanamke!sielewi Ili iweje na anapata nini hasa!!?

Utumwa wa kingono ni mbaya sana!!
Hawana nguvu za kiume, wananyonya ili kuficha aibu ya kutoweza kumfikisha Mwanamke kileleni.
 
Hakuna cha Too much wala nini.

NGONO YA MDOMO INA MADHARA FULLSTOP.
We endelea kufanya kinachokupendeza ndugu hujakatazwa kila kitu kina madhara yake kila mtalaam akianisha madhara ya Kila kitu mbona shehe utatembea mtupu napo kuna madhara mionzi 😂😂
 
We endelea kufanya kinachokupendeza ndugu hujakatazwa kila kitu kina madhara yake kila mtalaam akianisha madhara ya Kila kitu mbona shehe utatembea mtupu napo kuna madhara mionzi 😂😂
We jipe moyo kwa vitu vya kipuuzi.

MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.
 
Kuna mambo Huwa yananishangaza sana nikiyasikia:-

1.mwanammme ku disa mbele ya mwanamme mwenzake!! Najiuliza hisia anazitoa wapi!!

2.Mwanamme kulamba Kwenye uchi wa mwanamke!sielewi Ili iweje na anapata nini hasa!!?

Utumwa wa kingono ni mbaya sana!!
Maisha yamebadilika zama zinakimbia ukiona kitu kinakusumbua unakipiga chini wewe kama wewe unawaachie wengine waendelee na elimu iendelee kutolewa kuhusu madhara mtu aamue mwenyewe yupo tayari? Kama la basi anaacha kwa amani anazidisha ibada msikitini na kanisani kuwaombea wengine wasitumbukie.
 
Hawana nguvu za kiume, wananyonya ili kuficha aibu ya kutoweza kumfikisha Mwanamke kileleni.
Kukosa elim ya viungo tu!

Kwani aliewaambia nani kufanya dakika 30/40/50/ ndio kumfikisha nani!!?

Wanafika Kwa hisia walizo nazo kwako na utayari wao wai kufikishwa!

Unakuta Dem anastress za kudaiwa vikoba,kodi ana mawazi mengi hata ukimpakia mkongo utamuumiza tu!

Elimu ya hisia na na viungo hamna!!saikolojia zaidi!!
 
Kila nikifikiri size tofauti tofauti zinazoingizwa humo na ule uji unaomwagwa humo alafu Jamaa linakuja kuingiza kinywa humo.Hakika mna moyo wa chuma nyie mnatakiwa kukaa mstari wa mbele kwenye jeshi la Ukraine au Idf mpambane na Hamas au Warusi.
Aiseee so nyie kunyonywa ni sawa ila junyonya wenzenu ni dhambi basi oke 😂😂😂😂😂
 
We dogo skia...nakuheshimu, acha kufungua Uzi 20 kisa mada moja...kwani wewe umekutwa Nini huko....mbona unakamia mambo ya chumbani ya wenzako...wewe Kuna mtu kakupangia jinsi ya kumfanya mwenza wako ...wewe ni kama nani kupangia watu .. acha watu waishi kwa amani bila kuvunja sheria, acha kuingilia uhuru wa watu...hii sio Afghanistan wala Iran usilete moto wako uliyotishiwa na waarabu wa kale ambao walikuwa wanaamini jua linazama kwenye tope...acha kutumia Vitisho vya kidini na hamna andiko la dini limeandikwa mdomo utumike hivi usitumike hivi na mambo ya magonjwa yapo risky via kudinyanya kuliko hata mdomoni....acha kufuatilia maisha ya watu Kama wewe huoni raha ni wewe na dini yako na mapenzi yako tumekuchoka....
 
Habari zenu Wakuu,

Kama tunavyojua kuwa ukifanya jambo baya basi malipo ni kesho kwa Baba au hapahapa Duniani.

Sasa leo nataka nikujuze hukumu za watu wanaonyonya sehemu za siri hapa Duniani na huko Mbinguni.

Tukianzia hapa Duniani, hukumu yao muumba kashaiweka wazi kuwa ni kansa ya koo.

View attachment 2854899

Hukumu nyengine kubwa zaidi ni kuchomwa kwenye moto wa milele maana wamemkosea muumba kwa kutumia njia ya chakula kuigeuza njia ya ngono.

HIZO NDIO HUKUMU/MALIPO YA WANAONYONYA SEHEMU ZA SIRI.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Johannesburg South Africa
Imeandikwa wapi bloangu?
 
Back
Top Bottom