hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.
Du! kweli hii imekaa vibaya. hakuna taarifa ambayo imenisikitisha kama hiyo. Wanachadema wa Arusha Pls msife moyo. bado nafasi mnayo kutetea kiti chenu. Na pia muwe na uvumilivu epukeni vurugu kwa maslahi ya WanaArusha
 
Safi sana Mkuu, siku hizi umekuja na mtindo wa kujiamini 'tusiwape credit' wawe CCM, TISS, Polisi nk. Miaka ya 70, 80 mabalozi wa nyumba kumi walikuwa wakiheshimika sana, ilikuwa huwezi kununua gari kama hujapata baraka zao. Lakini taratibu walikuja kudharaulika, lakini pamoja na kudharaulika kwao kuna watu bado wanawapa credit. Hii ni kwa level ya vijijini na mitaani.

Kwa level ya watu wanaoonekana wameelimika hata humu JF bado wana mentality hiyo ya kuhusudu(kutoa credit) kwa vitu au watu, utasiki aa yule TISS bwana, lolote linaweza kutokea, NEC ni kila kitu nk. Binafsi nakiona kitendo hiki kama weakness fulani, kwa vile kadri unavyoonyesha kumuhusudu ndivyo opponent wako anavyozidi kukudharau. Mfano mzuri ukikutana uso kwa uso na simba lazima simba atastuka kwanza halafu atakuangalia kama utakimbia au miguu inatetemeka. Please guys be strong kama tunahitaji CCM ni wepesi sana, tumeona uchaguzi uliopita ni determination ya timu ndiyo iliyoshinda, lakini kama CDM wangesema tupige kura tusipige lazima CCM washinde na kweli CDM isingeshinda.

Mambo ya kisheria hayataki utabiri wewe subiri hukumu ndio useme.
 
Mod mmekosea kuachia uzi ulioanzishwa na anayetegemea habari toka kwa wengine. kila aina ya mauongo yatawekwa hapa.
 
kweli lema mbunge wetu kapigwa chini?ha ha haa!! hatawafanyeje cdm ina twaa tena hilo imbo tena
 
Lazima tuwe wa kweli; kama Lema atakutwa na hatia kwanini asiondolewe? Kama ushahidi ni mkubwa dhidi yake mahakama haina jinsi isipokuwa kumkuta na hatia - hilo si credit kwa CCM au Lowassa au mtu yeyote. Ni ushahidi tu. Sasa, litakuwa ni funzo kwa wanasiasa wanaposimama majukwaani wachunge wanachosema! Lakini kama hatokutwa na hatia pia ni funzo kwa wengine kwa sababu tusiwape watu sababu hata ya kukata rufaa. Unashinda vizuri kwa uadilifu!
Walioko mahakamani wanasema Lema kavuliwa ubunge. Cdm chipangeni upya, jimbo litarudi kwenu tena
 
  • Thanks
Reactions: FJM
ubunge wa mh Lema umetenguliwa na mahakama leo. Nawapa pole wanaChadema,chama na bunge zima kwa kumkosa mbunge kijana. Natamani cdm wamsimamishe Lema jimbo lirudi!

Yaani kwa kesi ya kipumbavu kama hiyo?lakini hakijaarika kitu anarudi Tena kugombea na hilo jimbo haliendi CCM,kama ndio target yao wamenoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom