hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.
Niko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi

Mkuu unasema kweli kwani na kesi yenyewe imekuja wakati mzuri wa kukumbuka kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya ulimwengu hivyo itakuwa wakati muafaka na sisi kujitoa sadaka kwa ajili ya watoto wetu na kizazi kijacho. Nakupongeza
 
ndugu zanguni kwa ukweli usiyofichika mpaka sasa lema hana kesi ya kujibu ..labda waliofungua kesi wakajipange upya ................................amen
Hheeee...........come again please.
 
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
 
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
 
Mpiga kura yeyote katika jimbo husika ana utashi wa kufungua kesi kupinga ubunge; tuachie mahakama iamue kama kweli Lema alitoa matamshi yaliyokuwa na mlengo wa UDHALILISHAJI wa kijinsia hivyo ukaleta ushawishi kwa wapiga kura HIVYO Lema akapata faida dhidi ya wagombea wengine. Kwa mataji huo LEMA kakalia kuti kavu. Suala la Batilda na Lowasa kutofungua kesi halina UZITO.
 
Kwa mtazamo wangu CCM wakilazimisha kushinda kesi hii kwaupande mwingine wa shilingi wanaogopa pia kuingia garama ya uchaguzi utakao fuata kwakua hawana uhakika kama watashinda!
 
Wakuu watu tunasubiri kinachojiri huko mahakamani tumwagieni habari basi.
 
Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza


mkuu una uhakika na unayosema ??????????????????????????????????????????
 
mode naomba muwe mnawapa bun hata ya miezi mitatu watu wanao leta vyitu vya uongo makusudi hii itasaidia kuweka heshima ya forum yetu ni heri mtu aweke tetesi kuliko kujisemea tu kumbuka hii ni ishu sensetive sana kwa watu wengine asante nawakilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom