Hukooo Nachingwea

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
Picha kwa hisani ya mdau J.J.J.M

P1020606.JPG


Free ya sh 500. Tanzania safi sana.
 
Mzee Resort ipo upande gani? Toka nitoke Farm 17 mwaka 82 sijarudi mitaa hiyo? Garaji ya Mhindi ipo?
 
Nimeipenda Picha kwani ina akisi hali halisi ya maeneo mengi ya Jamhuri yetu tukufu!
 
Nimeipenda Picha kwani ina akisi hali halisi ya maeneo mengi ya Jamhuri yetu tukufu!
Mkuu nakuunga mkono, sehemu nyingi za Tanzania hasa zenye miji midogo kama Matemanga na Mbesa - Tunduru, Runzewe-Biharamulo, mjini Kasulu na Manyovu haya mambo yapo sana.
 
Duh safi sana mdau free shs 500/- kweli bongo iko juu. Kiingereza kilikuja na meli jamani
 
Back
Top Bottom