Huko Telegram tunaelekea kubaya, Mamlaka ziingilie kati

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Cartels za child prostitution na child trafficking ndio zinaanzaga hivi.

Movements za aina hii zikisha kuwa za kishindani ndio hupelekea hadi kuvuka mipaka watoto wenu wadogo wa kike kuwa kidnapped, drugged na kuuzwa kwenye black market for child prostitution.

Ni hatari sana, Mamlaka fuatilieni kwa kina.
 
Movement za aina hii zikisha kuwa za kishindani ndio hupelekea hadi kuvuka mipaka watoto wenu wadogo wa kike kuwa kidnapped, drugged na kuuzwa kwenye black market for child prostitution.

Ni hatari sana, Mamlaka fuatilieni kwa kina.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kuna kitu unataka kusema. Hebu ielezee vizuri.

Sisi wenye watoto tunapatwa na hofu.
 
Cartels za child prostitution na child trafficking ndio zinaanzaga hivi.

Movements za aina hii zikisha kuwa za kishindani ndio hupelekea hadi kuvuka mipaka watoto wenu wadogo wa kike kuwa kidnapped, drugged na kuuzwa kwenye black market for child prostitution.

Ni hatari sana, Mamlaka fuatilieni kwa kina.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mwaka wa tatu sasa nilishaachana na Telegram.

Sijui waliopo kuke wanIshije walah. Maana channels za extreme nudity zimejazana kila kona huko
 
Hii dunia hakuna lisilofanyika. Ni suala la wewe kulitafuta. Sasa ukishalitafuta ukalipata usidhani ni tatizo lililosambaa. Halijasambaa ndo maana ni la kutafuta.

Mtu anaenda kwenye club za jinsia moja, anatongozwa na jinsia yake halafu anarudi mtaani kusema kuwa wapenzi wa jinsia moja wamejaa kila sehemu. Hawajajaa, umewatafuta ukawapata wanapopatikana.
 
Cartels za child prostitution na child trafficking ndio zinaanzaga hivi.

Movements za aina hii zikisha kuwa za kishindani ndio hupelekea hadi kuvuka mipaka watoto wenu wadogo wa kike kuwa kidnapped, drugged na kuuzwa kwenye black market for child prostitution.

Ni hatari sana, Mamlaka fuatilieni kwa kina.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Sijawahi ijua wala inafanyaje kazi including tiktok hata siijui, kaeni na mambo yenu huko.
 
Back
Top Bottom