Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Hii barua imeghushiwa kwa kuwa ukiisoma kwa makini ina makosa mengi ya kiuandishi na kuifanya isiwe na hadhi ya kuandikwa na DEAN OF STUDENTS!! Halafu kwa jambo nyeti kama hilo Dean gani anaweza kuwa mzembe kiasi hicho akaandika barua ya namna hiyo???? ACHENI UTAPELILeo katika kipindi cha Siasa zetu hapa Radio Zapa Fm zimefichuka siri na Njama za Ccm kuhusu Chuo kikuu cha Dodoma.