Hujuma Za CCM Chuo Kikuu Dodoma Zavuja

Leo katika kipindi cha Siasa zetu hapa Radio Zapa Fm zimefichuka siri na Njama za Ccm kuhusu Chuo kikuu cha Dodoma.
Hii barua imeghushiwa kwa kuwa ukiisoma kwa makini ina makosa mengi ya kiuandishi na kuifanya isiwe na hadhi ya kuandikwa na DEAN OF STUDENTS!! Halafu kwa jambo nyeti kama hilo Dean gani anaweza kuwa mzembe kiasi hicho akaandika barua ya namna hiyo???? ACHENI UTAPELI
 
Msaada kwenye tuta "neno Koleji" kwenye kichwa cha habari kwangu halijaingia vizuri naombeni kufahamishwa zaidi.
 
Hii barua imeghushiwa kwa kuwa ukiisoma kwa makini ina makosa mengi ya kiuandishi na kuifanya isiwe na hadhi ya kuandikwa na DEAN OF STUDENTS!! Halafu kwa jambo nyeti kama hilo Dean gani anaweza kuwa mzembe kiasi hicho akaandika barua ya namna hiyo???? ACHENI UTAPELI
Mimi nimechoka na neno Koleji hapo kwenye kichwa hwa barua.Hicho ni kiswahili au kithungu?
 
Nimekuelewa lakini nami nimekwambia hii ndio account ya Zapa Radio Fm sina sababu ya kudanganya maana hainisaidi na nikukihuka miko ya Kazi
Basi hujanielewa vinginevyo usingesema hayo. Hiyo inaweza kuwa ni akaunti halali kabisa ya Zapa lakini watumiaji wa JF wanaweza wasiiamini simply because haijakuwa verified. But on the other hand, assume ume-post kitu hapa JF kwa kutumia hiyo account lakini mwishowe kikasanuka; Zapa Radio wana haki kuikana hiyo akaunti kwamba sio ya kwao kv haipo verified! Lakini kama inakuwa verified, members wa JF hawatakuwa na sababu ya kutoiamini na Zapa wenyewe hawawezi kuikana manake wakifanya hivyo uongozi wa JF utatoa documents zilizotumika kwenye verification. Kwahiyo, hata kama inawezekana ni akaunti halali ya Zapa Radio, lakini mtu mwingine anaweza kusema is just fake account like any other JF fake account na huwezi kumkatalia! Kwahiyo issue hapa si wewe au Zapa Radio... issue si kwamba barua ni halali au sio halali na wala issue sio Zapa au wewe hamna chama na wala hamna sababu ya kutengeneza stori-- issue ni uhalali wa source. Sasa kwa kuwa akaunti yako ni ya juzi tu na unataka iwe na uhalali, basi i-verify vinginevyo haitakuwa na tofauti na any other fake account hapa JF na hivyo kupunguza credibility kwa sababu the info comes from an unverified source.

But anyway, sio issue lakini isije mjadala uka-divert.
 
Nimekuelewa lakini nami nimekwambia hii ndio account ya Zapa Radio Fm sina sababu ya kudanganya maana hainisaidi na nikukihuka miko ya Kazi
Udom ni janga kubwa la taifa.kijana yeyote anaonesha kuwa upinzan lazma afukuzwe.sijui mwisho wa haya n lin .
 
Haha kaka lazima niupinge maana kila anapogusa Jk anatuachia dhahama , kasoro tu alipokua waziri wa mambo ya Nje hapo ndio alipamudu vizuri ,
Maana wewe kila nikiona sehemu inayomhusisha mstaafu huyu basi wewe lazima uelezee jambo hili lilivyokufedhehesha hahahah!
 
Maana wewe kila nikiona sehemu inayomhusisha mstaafu huyu basi wewe lazima uelezee jambo hili lilivyokufedhehesha hahahah!
Haha Mkuu sio kila jambo alilolifanya Jk nalipinga sasa wewe huoni ni hatari wizara ya mambo nje peke yake kutumia Billioni 170 na ushee peke yake kwa tiketi ,halafu Jk ana ishia kubembea Jamaica ? Najua nafasi yake UDSM ni kama pambo tu ila pamoja na hayo wangemwacha akalime mananasi Msoga
 
Haya Mkuu
huwa unanifurahisha sana unapozungumzia huu uteuzi hahahah!
 
Watu wanaakili za paka kweli. Yaani jitu limeandika barua, ka pest mhuri na sahihi ya Manonga. Hawa ndo polisi wafanye kazi Yao akafie jera. Mtu mzima hovyooooo
Mwambie Mbowe akusaidie maana huwa mnajitoa akili sasa mnakuja na MIHURI FEKI.
 
Kwa tuliopita vyuoni tuliona upuuzi wa aina hii wa kughushi barua hasa wakati wa uchaguzi. Nyie vijana wa sasa pigeni shule hizi siasa siyo wakati wake.
 
Hii barua yakufoji na sijui aliyeleta huku ana malengo gani.. Angalieni kwa makini eneo lenye signature na muhuri limekatwa na kupachikwa hapo kutoka sehemu nyingine..

Pia ukiangalia header imepachikwa kutika sehemu nyingine

Ukiangalia ref No ni ya kizushi tu, haiwezekana office kubwa kama ile iwe na barua 36 pekee mpaka sasa, na ukiangali reference iliyotumika ni ya heneral file. Afadhali ungedanganya kwa kuandika kama specific file la kwa huyo inakokwenda.

Huu ni ulaghai na lengo ovu lakuchafua ofisi za watu wengine
 
Shida vijana mkifika tuu chuo mnadhani mmefika uwanja wa siasa..Kisa mnawaiga wakina Mnyika ambao nao hawakumaliza chuo kisa siasa kwaio mjiandae kufukuzwa tuuu..hamna namna!!!pale umefata elimu kombati lako la khaki baki nalo kwenu likizo ukirudi ndio ulivae au subili umalize uifanye siasa ndio ajira yako!!sio kuwashawishi wanafunzi wenzako wagome ili upate umaarufu wakisiasa maana siasa chuoni ndio chanzo cha migomo almost yote!!!
 
Vijana wetu wana mawazo mafupi na yasiyo na mpangilio.Wanafikiri siasa ndio kila kitu na hasa akiwa ktk chama tawala.Nashauri wajitambue.
 
Back
Top Bottom