Hujuma Za CCM Chuo Kikuu Dodoma Zavuja

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Leo katika kipindi cha Siasa zetu hapa Radio Zapa Fm zimefichuka siri na Njama za Ccm kuhusu Chuo kikuu cha Dodoma.
 

Attachments

  • IMG-20160214-WA0067.jpg
    IMG-20160214-WA0067.jpg
    98.6 KB · Views: 109
Tunafuata sheria za uwandishi wa habari na hii ni account ya Zapa Radio Fm ni barua ya kweli
Kwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everything
 
Kwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everything
Nivizuri Watanzania wajue ccm ilivyo na mambo yake machafu
 
Hiki chama kila kukicha no kufanya mambo ya aibu na wenyewe hawaoni aibu. Iko siku wataamua viongozi kuja hapo Ofisi kuu ccm wakiwa bila nguo na wataona no kawaida tuu
 
Watu wanaakili za paka kweli. Yaani jitu limeandika barua, ka pest mhuri na sahihi ya Manonga. Hawa ndo polisi wafanye kazi Yao akafie jera. Mtu mzima hovyooooo
 
Back
Top Bottom