ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,966
- 51,796
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya kukagua kazi ya kujenga Kituo Cha Umeme huko Tabora.
Baadhi ya hujuma ambazo zimekuwa zikifanyika ni
-Kuiba Transifoma
-Wizi wa Mafuta ya Transfoma
-Wizi wa Nyaya za simu
-Vifaa vingine vya Umeme
-Nguzo fake za zege
-Madili ya MITA kama alivyoripoti CAG nk
---
Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya Tanesco
Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu
1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’
2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe tatu ubungo maziwa Dar es Salaam, amekamatwa mtu jina ninaye hapa akiwa na lita 400 za mafuta ya Transfoma kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’
3. ‘’tarehe moja mwezi tatu Keko Dar es salaam, mwananchi mmoja amekamatwa na kilo 50 za Nyaya ya shaba zenye thamani ya shilingi laki saba na Hamsini, na hawa kuna kiwanda kimoja kila tukio la waya unaona walikuwa wanaenda kushusha kwenye kiwanda hicho, kwa sababu tuko katika upelelezi sitaki kuki disclose. Hawa nao kesi inaendelea’’
4. ‘’baadae Kilo 361 za Nyaya zenyewe zimekamatwa, wapi keko Dar es salaam , keko hiyo hiyo kilo nyingine 1105 zimekamatwa na zilikuwa zinapelekwa kwenye kiwand kile kile zinaenda kuuzwa, zenye thamani ya shilingi milioni 16,575,000/=’’.
5. ‘’Mwezi wa tatu Dar es salaam Keko, kilo 57 za shaba, Bunju Dar es salaam na kwenyewe amekamatwa mtu mmoja lakini ana material zenye thamani ya shilingi milioni 200 mali ya Tanesco kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’.
6. ‘’Tarehe 17 mwezi wa tatu, sisi tupo kwenye maombolezo wenyewe wanaiba, Kigamboni na huyu ni mfanyakazi wetu wa muda maalum anaitwa Hussein Yusuph Rashidi wa kigamboni kaiba copper wire roller nzima na transfoma iliyokuwa kwenye matengenezo ameenda kuuza apate hela. Kesi ipo Mahakamani’’.
7. ‘’Ubungo maziwa tena huyu sio mfanyakazi wa Tanesco , wameiba transfoma tatu kesi inaendelea’’
8. ‘’ Tarehe 21 mwezi wa tatu, Fukayosi kule Bagamoyo wakazi hawa wamekutwa na lita 75 za mafuta ya transfoma, kesi bado iko kwenye upelelezi’’
9. ‘’ 17 mwezi wa tatu, mkuranga huko na kwenyewe mtu mwengine ameenda, transfoma nne zenyewe wameenda kuzichukua kesi iko mahakamani’’
10. ‘’ukienda chalinze wamekutwa na Nyaya za aluminium ambazo zilikuwa ni mali ya ETDCO na kwa kweli hapa na penyewe kuna mtu mmoja mdau wa ETDCO ndio mtengeneza mchongo’’.
My Take
Serikalini undeni kikosi kazi maalumu Cha kufuatilia wahusika wote wanaofanga mambo hayo hapo Tanesco Kwa kushirikiana na Wanasiasa wenye nia ovu.