Hujuma: TBC kukata sauti kwa masaa kadhaa pasipo jitihada za kuirudisha kufanyika

Mimi ni Mtumiaji wa King'amuzi cha Azam Tv!
Na Kuanzia Mida ya Mchana Mpaka Sasa Sauti Imekata!
Kilichoniuma Zaidi ni Kushindwa Kuisikiliza Habari ya Makonda,ambayo Karibu Televisheni Zote Zimeizira!
TBC Kunani?
Nani Anawahujumu?
Ni UKAWA?
Au Mange?
Nani?
Nimekwazika Mno!
Sio kweli kuwa TV nyingne hawakuonyesha habari ya makonda
 
Mimi ni Mtumiaji wa King'amuzi cha Azam Tv!
Na Kuanzia Mida ya Mchana Mpaka Sasa Sauti Imekata!
Kilichoniuma Zaidi ni Kushindwa Kuisikiliza Habari ya Makonda,ambayo Karibu Televisheni Zote Zimeizira!
TBC Kunani?
Nani Anawahujumu?
Ni UKAWA?
Au Mange?
Nani?
Nimekwazika Mno!
Tbc inahujumiwa na maccm!
Maccm wameiua na ndio walioifanya ichukiwe na kukosa mvuto...
Hata hao wafanyakazi wake hawaipend ccm kabisa wanafanya tu kazi ili wapate ugali...
 
Si
Mimi ni Mtumiaji wa King'amuzi cha Azam Tv!
Na Kuanzia Mida ya Mchana Mpaka Sasa Sauti Imekata!
Kilichoniuma Zaidi ni Kushindwa Kuisikiliza Habari ya Makonda,ambayo Karibu Televisheni Zote Zimeizira!
TBC Kunani?
Nani Anawahujumu?
Ni UKAWA?
Au Mange?
Nani?
Nimekwazika Mno!

Sidhani kama unachosema ni kweli labda hicho king'amuzi chako... Me pia nilitaka kujua kama watarusha hyo habari na nimeiangalia kupitia startimes imepewa coverage kubwa tu kaongea mwenyekiti wa kamati.. So nafkiri service provider wako ndo tatizo
 
kilicho nimeandika hivyo nikijua kuna mgomo baridi wa television houses kumziria Makonda!
By the way,nimejaribu kupreempty comments kama hizi kwa kujumuisha maneno "karibu zote"!
So logically,umenielewa!
Sio zote!
 
Wameajili watumishi wanawalipa mishahara inayotkan na kodi zettu lkn chombo hichohicho hakikidhi mahitaji ya habari ya walaji(Watanzania),si bora kutokuwepo kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom