Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

Chadema hakiwezi kupoteza muda na kundi la wasaliti wanaofadhiliwa na ccm, kazi yetu ni kumpiga adui ccm, ukimnyong'oza ccm umeinyong'oza act na vibaraka wake wengine.
 
Mwisho wa ubaya nia aibu. Hata huyu kiongozi wenu mkuu wa usaliti akicheza anaweza asirudi mjengoni......! Wote mnaoshabikia hiyo ngome ya wasaliti ndio ambao mlikuwa mnarudisha maendeleo yetu cdm nyuma. Bora muondoke wote sisi tuelekee ikulu.
 
Hiki chama mfu kinakufa kwa kasi sana, huku field hakipo kipo mitandaoni tu kikieneza upuuzi na uharo.
 
Yani chadema wamesahau kabisa kupanga mikakati ya jinc ya kuitoa ccm madarakani badala yake wanapoteza muda na nguvu Nyingi kupambana na Zito, ckutegemea
 
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.

Acha kuandika upumbavu wewe..Maada kama hii kajadri na mkeo toa upumbavu, CDM hawana ujinga wa kupambana na chama cha upinzani zaidi ya kupigana na ufisadi..
 
Huyo msaliti ayatollah zzk hana pakutokea mwaka huu tutazibana mpaka aseme poo mwenyewe. Anajidai mjanja wakati his full stressed. Mfyuuuuuuuuuuuuuu
 
Ukiona chama cha siasa:-
1.kinamilikiwa na kuendeshwa na wanafamilia(WAKWE),
2 .viongozi wa juu wanatoka ukanda mmoja,
3 .Kutokuwa na ukomo wa madaraka kwa viongozi wa kitaifa
4 .Kina matumizi mabaya ya ruzuku na mali nyingine za chama
5 .Wanachama kutokuwa na uhuru wa kidemokrasia ndani ya chama
6.n.k
Basi ujue hiki siyo chama cha kizalendo chenye lengo la kumkomboa mwananchi.Kwa hiyo ni cha kuogopwa sana na yafaa kujitenga nacho..
 
Halafu kiongozi mkuu anakonda kwa kasi ya hatari. Nadhani huwa akilala anaota mzimu wa Chadema.
 
wathubutu hao wavuta bangi wa chadema ndo watajua sisi ni akina nani. hatutawavumilia hata kidogo. ile kauli mbiu ya mwenyekiti wa ccm itabidi ituke kama italazimika. UNYONGE SASA BASI.

Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.
 
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.

Matatizo ya watu kama Kinana Nape Lowassa Rostamu kuwamwagieni pesa musizoweza kuzitumia kwa akili zaidi yakuja kuropoka ropoka,
ACT saccos y zito haiwezi kusimama bila kusafiria nyota ya chadema msaliti ni msaliti tu amalizane na limbu kabla hajamgaragaza tarehe 16/April/2015
 
ACT chama cha wasaliti na wanategemea
Ushoga

swissme

Bavicha bila matusi dah,mmelaaniwa sana Saccos yenu na wachaga wote mtaisoma namba mwaka huu,chama cha udini na ukabila kamwe hakiwezi ongoza nchi hio mnafaham acheni kunywa viroba asubuhi badala ya chai,jengeni hoja.
 
Toeni chama kutoka mitandaoni hadi kwenye ulimwengu wa kawaida nyie! acheni ujinga na Upuuzi wa kuishirikisha cdm kwenye huo ujinga wenu! Chadema hatuna shida na mtu tupo level nyingine ya juu kuliko wafadhili wenu CCM!
Ni kweli kabisa CHADEMA ni level ingine. maana nimeona thread ingine huku ikielezea jinsi Kibanda anavyothibitisha kutekwa na chadema. ni nani tena anayeweza kufikia level yenu ya utekaji kwenye nchi hii?
 
Back
Top Bottom