Huenda Hansi Mmassy akahama chama

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Huenda Hansi mmassy akajiengua CCM na kujiunga kambi ya upinzani. Kwa kauli yake anasema anapata wakati mgumu sana kuamua. Yote yatategemea ile tarehe 14 kamati kuu itaamua nini. Atajiunga na chama gani? Bado ni kitendawili.:doh:
 
rekodi yake hiko vipi huyu? ni mpiganaji au mlaji? kama mlaji wa mali ya umma hatakiwi upinzani.

Wanaotakiwa upinzani ni wale wenye nia ya kuliokoa taifa letu tu.
 
Nifahamishe,huyu ndugu ndio nani tena? Kwa sasa anafanya nini?

Huyu ni mtume aliyetumwa na wazee wa jimbo la Moshi Vijijini kuwakomboa (anavyodai yeye!) Alikuwa anapambana na Syril Chami kwenye kura za maoni. Yeye alipata kura 2000 dhidi ya 7000 za Chami. Alikuwa anachapa mzigo pale VODACOM akatimuliwa na sasa na anauza solar pale posta mpya.
 
Kwani hawezi kuwakomboa wananchi wa Moshi Vijijini bila kuwa mbunge?
 
Huyu ni mtume aliyetumwa na wazee wa jimbo la Moshi Vijijini kuwakomboa (anavyodai yeye!) Alikuwa anapambana na Syril Chami kwenye kura za maoni. Yeye alipata kura 2000 dhidi ya 7000 za Chami. Alikuwa anachapa mzigo pale VODACOM akatimuliwa na sasa na anauza solar pale posta mpya.

Don't buy that bullshit, kama wazee wa Moshi wangataka wagegombea wao wenyewe, na kama kweli wangekuwa wamemtuma wangempigia kura. Ubunge ni dili ya kibiashara, kwa hiyo lazima utumie mbinu nyingi kuwaingia watu. kama angetaka kuwakomboa watu wa Moshi angeweza kufanya hivyo kwa njia nyingi tu sio ubunge.
 
Hiyo kazi ya kuuza solar inamtosha. Kama wachaga walimkataa kwao,sasa iweje watusukumie sisi akina chasaka?
 
rekodi yake hiko vipi huyu? ni mpiganaji au mlaji? kama mlaji wa mali ya umma hatakiwi upinzani.

Wanaotakiwa upinzani ni wale wenye nia ya kuliokoa taifa letu tu.
Hivi mkisema upinzani huwa mnawajumuisha DP,NCCR,TLP,TPP?
Kama hiyo ndo tafsiri yako mkuu basi HATUNA UPINZANI TZ
 
Upuuzi huu; anatafuta kazi baada ya kutimuliwa kazi huko VODACOM ambayo nadhani inaitumikia CCM.
 
Leo hii nilikuwa na jamaa mmoja mfanya biashara katika mji wa lusaka akimzungumzia huyu Hansi. Alisema kwamba jamaa ni mpambanaji kweli ambae alitumia kipato chake kwa kujenga hadi madarajo huko kijijini kwao. Hivyo alisema kama angeweza kumshawishi jamaa akubali kuhamia Chadema ataahirisha safari zake za kibiashara china na kwenda kumpigia kampeni kila kijiji. Sasa nilikua sijaiona hii post, kesho itabidi nimjulishe hili ili aweze kuwasiliana nae na amweleza chama kimbilio pekee ni Chadema ili afanye haraka kuondoka kwenye hiyo ghetto ya mafisadi. Kuhusu vodacom aliomba likizo ya bila malipo huku mshindani wake Siril chami akijitahidi kumwaga sumu kwa boss wake.
 
Jina lake halisi siyo "Hansi Mmassy" bali ni "Hansi Mmasi." Inatelekea kama vile watanzania tunaanza kujirudisha kwenye ulevi wa uzungu. Ni Kama "Kichuguu", nikasema eti mimi ni "Qexugoue." Nimshawai kuana majina kama Mmari yanaitwa Mmary kama vile eti ni mtu wa kutoka Mary. Tusijidhalilishe hivyo.
 
Jamaa anapambana na CHami awamu ya 2 sasaa anashindwa nasikia amejenga madarasa sekondari na madaraja.....duu kazi ipo ameacha akzi sababu ubunge
 
CHADEMA natoa angalizo: Mtapokea wengi waliotemwa na CCM kwenye uongozi na wanataka kujaribu nafasi hizo tena wakiwa Chadema, sio vibaya kama mtahakikisha kuwa mtu anapendwa na wapiga kura ila kashindwa kwa mizengwe yao ya CCM.... huyo mchukueni ni mpambanaji na anauzika,lakini sababu kama si hiyo hakuna haja ya yeye kupitishwa kwenye kugombea uongozi akiwa Chadema kwa sasa, kwani kama hakuonewa, na kashindwa conclusion ni tayari si chaguo la watu wa hapo huyo....Keep another Candidate.
 
Don't buy that bullshit, kama wazee wa Moshi wangataka wagegombea wao wenyewe, na kama kweli wangekuwa wamemtuma wangempigia kura. Ubunge ni dili ya kibiashara, kwa hiyo lazima utumie mbinu nyingi kuwaingia watu. kama angetaka kuwakomboa watu wa Moshi angeweza kufanya hivyo kwa njia nyingi tu sio ubunge.

call it like it should be.... BULLSHIT BLAH BLAH.... UMEIWEKA VYEMA KABISA MKUU,

MTU KESHASEMA AMETUMWA, YEYE JINI??? INA MAANA HAKUWA NA DHAMIRA YAKE MWENYEWE? WHERE IS THE ZEAL ADN DRIVE? NA CHADEMA WAMTOSE TU HUYO MONGER
 
Kaka Hansi where are you now?I lost my mobile so the number.Would you mind to drop a line via eMail?Thanking you in advance.By Mwl.Nicodemus Mmassy
 
Huenda Hansi mmassy akajiengua CCM na kujiunga kambi ya upinzani. Kwa kauli yake anasema anapata wakati mgumu sana kuamua. Yote yatategemea ile tarehe 14 kamati kuu itaamua nini. Atajiunga na chama gani? Bado ni kitendawili.:doh:
Kama anapata wakati mgumu kuamua hafai. Akae hukohuko kwa wenzake. Alikwina?
 
HAKUNA HAJA YAKUPOKEA MAKAPI ROUND HII TUJIFUNZE KWA SHIBUDA,KUMBEBA KOTE KULE KAISHIA KUTUDHALILISHA KWA KAULI HATA MATENDO YAKE,UPINZANI KUPITIA UKAWA LAZIMA WALIANGALIE HILI..MIMI KAMA MZAWA WA MOSHI VUJIJINI NAMFAHAMU ANAYEITWA HANSI NA AMEKUWA AKIGOMBEA MARA KWA MARA ILA HATA KITONGOJI ATOKACHO YAANI LIMA WALIMTOSA,KWANGU MIMI HASTAIHI AKIWA MAGAMBANI HATA UKAWANI.:baby:
 
Back
Top Bottom