delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,003
- 1,278
Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kutumia hiii huduma inaandika sorry you do not have enough funds nikienda kweny atm nakuta hela zipo nikiingia ndani hela zipo kwenye akaunti mwanzo nilishtuka nikajua nimeibiwa lakini sasa hii ni zaidi ya usumbufu sitimiziwi malengo yangu ya kujiunga na hii huduma kama vipi mnitoe tuu nijue sina sim banking nimeripoti ndani kabinti kananibania pua kanasema ni tatizo la mtandao wiki mbili tatizo gani tena kama mmeshindwa toeni na matangazo yenu ya sim bankig kwenye atm