Huduma mbovu Usangi Govt Hospital

NGASEKU MDOGO

Member
Mar 20, 2013
50
10
Niko hospital ya wilaya ya mwanga usangi govt hospital hali inasikitisha huduma hazitolewi wahudumu wanaingia na kutoka ofisi nimekaa masaa matatu hamna huduma. Kuna mama kaja na mwanaye anatapika damu kakaa mpaka kaamua akawalile madaktari wanaopiga story still bado ..... plz kama kuna mgomo wa madaktri tujulishwe jamani
 
Chagua CCM upate shida duniani,,, nyote nyie mnalipia gharama za kuchagua chama ambacho hakijali na hakina mpango na shida zenu. Wao wako busy saizi wanagawa vitalu vya gesi
 
Check na Dakitari mkuu kila kitu kitaenda sawa.Palikuwepo na tatizo kidogo kati ya madakitari na uongozi wa Hospitali lakini muda si mrefu huduma zitalejea kama kawaida
 
Prof. Uko wapi??? Jimboni kwako kuna matatizo makubwa mbona huyatatui?? Au hauna mpango wa kurudi tena mjengoni 2015
 
Back
Top Bottom