...........hudodesha kitanda kila baada ya mechi tu!

nimesoma kimakini, na penuni kupekua
sipati hali ilivi, ni kama wacheua
hivi ni nini hiki, mpenzio kubutua
sasa nahisi viroja, wadarizi mpenzio

wadarizi mpenzio, sasa nahisi hoja
na mapenzi wala sio, bali ni kuboboja
wamnanga mpenzio, wala hii si mara moja
sasa nahisi viroja, wadarizi mpenzio

tena wajipukuta, ili kumuweka yeye uchi
sijui na akija juta, utaikimbia hii nchi?
msetiri ulemkuta, ili kinu kile mchi
sasa naona viroja, wadarizi mpenzio

hii ya kinu kula mtu nayo ni kali.....................[MENTION]@TIMING[/MENTION]
 
Sasa kufikia kileleni ndo kudodesha ama kuboresha kitanda? Kwani kudodesha maana yake nini?

King'asti nielewe ya kuwa mechi ilikwshakuisha kwa hiyo hakuna kileleni hapo...........[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
ruta unahitaji elimu kubwa sana ya sex mkuu

kuna kitu unananga, kisije kukunanga wewe

TIMING hebu fafanua zaidi ni kipi hicho kinaninanga? [MENTION]@TIMING[/MENTION]
 
topics zako nashindwaga hata kuzijibu maana sizielewagi...zingine usiandike kimashairi aisee...

mtotowamjini ugumu uko wapi wa kuelewa?.labda bado wewe ni kuku mgeni..............[MENTION]@mtotowamjini[/MENTION]
 
Hii noma niliwahi kukutananayo Singida. Nakuambia ilikuwa hatari, yaani mpaka maji yalikuwa yanaruka ukutani

Mungi ufumbuzi wake ulikuwa ni nini?.............[MENTION]@Mungi[/MENTION]
 
Yalikuwa hayaunguzi hayo maji Mungi?

joto litatoka wapi wakati mwili wa mwanadamu una joto la 36.8C maximum..............ili yaunguze ni lazima yawe mara mbili au zaidi ya hapo......[MENTION]@Fidel80[/MENTION]
 
ahisi hainihusu huu.....kwaheri bana...naimani usiku wa kuamkia leo kwako :wave:ulikuwa ni balaaaa..
 
Back
Top Bottom