Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Hahaha SPYMATE mbona kimya, umeshaitumia ukaona aibu kupost kuwa imefungua modem yako?
Mbona hakuna aliyeleta mrejesho hapa? Nijuavyo hata ukiifungua huwezi kutumia Gsm yaani hadi uweke CDMA line vinginevyo ndo ushaiua Modem Hacha sifa za kijinga kijana
 
Last edited by a moderator:
Mbona hakuna aliyeleta mrejesho hapa? Nijuavyo hata ukiifungua huwezi kutumia Gsm yaani hadi uweke CDMA line vinginevyo ndo ushaiua Modem Hacha sifa za kijinga kijana
Shaffin Simbamwene, lets say haziwezekani kufungua sawa. Mimi nina swali, hizo modem zinatumika na mobile networks za tanzania (Zantel, Sasatel, .. ) ambapo watu wanasema kuwa bongo hamna technology ya CDMA ila iko ya GSM.

Zantel na Sasatel wanatumia CDMA au GSM?
 
Hamna mantiki ya kuichakachua hapo maana ukishaiflash iyo modem mpaka uweke CDMA line ambazo wanatoa zantel pekee hapa nchini tena ni buku 10 kwaline moja, Sasatel imeshajifia kifo cha mende na TTCL sidhani kama wanatoa CDMA line so why hakuna mantiki ya kuzi unlock hizi modem kaka.
Nionavyo we ni mgeni humu pia unapenda ligi.

**********CLOSED*******
 
Last edited by a moderator:
kitu ambacho wewe huwezi kufanya au wengi hawawezi kufanya haimaanishi kila mtu hawezi kufanya wapo wachache wanaoweza kufanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom