Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
HTML5 inaruhusu baadhi ya elements mpya ambazo hazikuwa zikikubalika kama tags kwenye HTML 4.
Mfano kuna element kama nav,footer, audio ,video, aside, section n.k kujua elemets zote mpya na matumizi au kazi zake tembelea HTML5 Tag Reference
Pia kuna element amabzo hazikubaliki kwenye HTML5 sababu imeonekana elemet hizi matumizi yake yanatakiwa kuwa kwenye presentation yaani CSS na sio content.
Mfano wa elemt hizo ni font, centre
Kwa wadau wote wanaojihusiha na mambo ya web na wale wanapenda kuanza kujifunza ni vizuri wajue tekenolojia ilipotoka na wapi inaelekea. Ingawa HTML5 bado Haijawa fully recomended na W3.org tayari baadhi ya features za HTM5 zinakubalika kwenye browsers nyingi.
Nitajuaje kama web nayongalia inatumia HTML5,au HTML 4 u HTML 4.1??
Kujua ni standard gani ya text formatiing inatumiwa na tovuti fulani unatakiwa kuanglia source code. Mfano kama unatumia firefox ukitaka kujuam jF inatumia standard gani basi unakwenda kwenye kitufe View alafu unachagua page source kwenye drop down menu mstari wa kanza kuna maneno haya

Code hizo ndo zinataja standard inayotumiwa na ukurasa. So JF inatumia XHTML1.0 ambayo pia imebatizwa kuwa ni HTML4.1<!DOCTYPE html PUBLIC "-//W3C//DTD XHTML 1.0 Transitional//EN" "http://www.w3.org/TR/xhtml1/DTD/xhtml1-transitional.dtd">
- Je developer mmeshaanza kutumia standard za HTML5 kwenye project mpya?
- What are your experince za using HTML5 with diff browser?