Hp for sale

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
363
wakuu nauza laptop yangu ya HP ambayo ni pavilion g6 na ipo hivi
AMD Duo Core Processor 2.3 Ghz
3GB RAM
320GB HDD
ATI 4250 512MB Video Card


hii computer inafaa zaidi mchezea photoshop au wanaopenda gaming kama screenshots nilizoweka hapo ambapo ninacheza tekken 5 ya PS2 na PES 2012 zinaonesha. inahifadhi charge kwa masaa matatu ukitumia modem+ browing na lisaa na nusu kucheki movie, ukiwa on its battery. laptop haina any problems au scratches, ipo in good condition
bei ni laki sita tu!

n6pzn.jpg


2qd0bvp.jpg


dxhj6c.jpg


289enf9.png


2cg0r6g.jpg

wasiliana na mimi kwa kutumia hizi namba 0753038174
leh


14xm5ar.gif

reason for selling: nimepata core i7 ila bei ambayo inahitajika ni refu mno, otherwise my laptop iko poa tu
 
Mkuu leh me nahitaji ya kujishikiza wakati naweka mambo sawa, nakupatia 550k cash.
UNASEMAJE??
 
Last edited by a moderator:
NingaR mi na wewe hatushindandwi. nipe contacts nikuelekeze kwangu uje uichukue. Gele vaheke nashukuru kwa offer yako, ila hata 550k nilikuwa sina mpango wa kutoa, hii mashine nimeinunua ghali, tamaa ya core i7 ndo inanifanya niuze
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom