How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Thanks for the consideration of other thinkers because through this we can know what people think about their future as well as country's direction. Thank you once again.:wink2:
 
Hello wanaJF
napenda kujiunga nanyi ili kuweza kujifunza mengi ambayo nimeyaona kabla ya kujiunga
asanteni
 
wapenzi wa jamii forum,mnajua, kila aliyefika kuhesabu kumi lazima kaanza moja.Jifunzeni kwa makini ni rahisi sana kutumia jamii forum,kubwa zaidi ipo hata kwenye lugha yetu ya kiswahili.Tujitahidi kusoma kwa kuzingatia na kufuata maelekezo, tutaelewa vyema.
 
First, Position ya Mkurugenzi TBC inateuliwa na Raisi.sio ya kuapply Tido Muhando kuwa mkurugenzi wa TBC ni Jk ambaye ni Muislam ndiye aliyemteuwa. Nilitaka kuondoa dhana ya udini kwanza, halafu post yoyote ile inayousu serikali kwa Tanzania huwa inaangalia Dini, ukanda, kabila na mambo mengine ya msingi ili kuweka sawa ili mnalolijadili. Kukosa huduma au kupata huduma poor kwa Tanzania ni jambo la kawaida, inapaswa tuwe tunajadili njia gani ya kutumia ili kupata huduma bora na c kujadili swala la udini. Kwa mm naweza kusema muhadhili yeye ndiye mwenye udini, maana mnafiki huwa anamjua mnafiki mwenzie. C busara kuchukua exam results za watoto na kwenda kujadiliana na mkeo.
 
nathani umefika wakati sasa tuache malumbano tuanze kufanya kazi . serekali ichukue hatua kuweka na kusimamia kikamilifu mifumo itakayoondoa UMASKINI KWA WATU KUFANYA KAZI NA KUKOMESHA KABISA UFISADI kwa kuweka na KUTEKELEZA ADHABU KALI . WATANZANIA WENGI hatufanyi kazi wote tumeingia kwenye siasa.
 
Hello jamii forum community,thanks for receiving me as a member of the active community of great thinkers. I realy enjoy your information/topics.
 
Nasalimia wana JF..nimeingia humu kujifunza zaidi na si kuonyesha ujuaji wala kumtukana mtu,.jina langu lina maana ya kutowapenda wanasiasa ila napenda siasa....ahsanteni,.inshaAllah tupate yaliyo mema
 
Ninawezaje kubadilisha user name yangu. Tafadhali naomba msaada kama linawezekana hilo.
 
Karibu sana siyo mwanasiasa. Hili ni jukwaaa watu makini, bila shaka utafaidika.
 
Jf and all team members, I salute you for a wonderful job of making it possible to exercise our freedom of expression.
Keep up the good work!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom