How to remove flash disk write protected?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
habari za j,pili ya leo wana jf.natumai mpo salama kwa uwezo wake yeye aliye tuumba.jamani mimi flash disc yangu imekumbwa na tatizo hili. gimbo5.JPG



msaada wenu tafwadhari.
 
download DVDFab 8 Qt na uinstall kisha kopy content za kwenye cd to your computer and then from there unaweza kuaccess info zote
 
download DVDFab 8 Qt na uinstall kisha kopy content za kwenye cd to your computer and then from there unaweza kuaccess info zote

mkuu nimeona kuna v. kibao sijui nii ipi unaonaje ukinitupia link?
 
fungua START menu, andika REGEDIT, select hiyo REGEDIT, fungua kwa mtiririko huu--> HKEY_LOCAL_MACHINE/SYSTEM/CurrentControlSet/Control/StorageDevicePolicies, double click on 'writeProtect', and on 'value data' option, put zero(0) and then click OK, then restart computer and plug the flash disk..
 
Back
Top Bottom