how to hack website

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
mods jana mmeongea na bbc kuhusu watu ku-hack jf mara 100 kwa siku
tunaomba mtujuze wanafanyaje??nataka kuwa hacker na mimi nisumbue watu kwenye ulimwengu huu wa technologia
 
Siyo rahisi kama unavyo dhania, unapaswa kuwa mtaalamu wa networking n'k ni kazi ngumu mno usithubutu kujaribu kuhack mawasiliano ya mtu na ukagundulika na sheria itachukua mkondo wake mara moja.
 
Kwa ujumla, ukitaka kuwa hacker mzuri lazima ujisomee sana na u-practice tirelessly. Read and practice anything from OS, HW, to TCP/IP. Mfano, kama unatumia SQL injection kama alivyoonyesha Sharo hapo juu, lazima ujue vizuri SQL ndipo unaweza hata ukajaribu mbinu mbalimbali-acha zile ambazo tayari zinajulikana.
 
kwa hiyo inawezekana kuwa hacker?manufaa yake kiuchumi?
 
Mod mwenyewe amesema hapa tanzania hata kama hackers wapo hawazid kumi kama sijakosea,na anasema wanatumia old ways.....so it means ni kaazi hasa
 
mods jana mmeongea na bbc kuhusu watu ku-hack jf mara 100 kwa siku
tunaomba mtujuze wanafanyaje??nataka kuwa hacker na mimi nisumbue watu kwenye ulimwengu huu wa technologia

hao wanasumbua jf sio hackers ni spammers tu. B ut kwa kutumia spammer watu wanafanya social engineering wakikuingiza mjini ukawapa detail zako unawarahishia ku haijack account zako.

Kuwa hacker hiutaji kuwa mtaalam sana siku hizi wakuu . Kuna tools hizo wewe unaingiz jina la tovuti na detail chache tu then automatically yenyewe inazaa kufanya injection. Mtu yeyote hata asiyejua single SQL syntax anaweza kuhack tovuti dhaifu.

Mfano mimi sikuhack lakini niliweza kuona backend na
  • kujua tovuti ya TRA, NSSF zinatumia CMS ya joomla. na mbaya nyingine zinatumia version ya zamamni zenye security holes
  • tovuti ya BOT ina very high risk SQL injection vulnerabirity.
Sio mtaalam lakini ukiwa na tool sahihi duh katika risk assesment ya tovuti nilizofanya ya BOT pale kwa wanolipwa mishahara mikubwa na tunaomaini wana vichwa ndio wako uchi zaidi.
 
tuonyeshe tuna hamu ya kuwapeleka mchakamchaka
hasa zile za bot,nssf,na tra,nina hamu nazo nizivuruge vipande vipande mpaka vile vitambi vya rushwa vikose usingizi
 
tuonyeshe tuna hamu ya kuwapeleka mchakamchaka
hasa zile za bot,nssf,na tra,nina hamu nazo nizivuruge vipande vipande mpaka vile vitambi vya rushwa vikose usingizi

malizi ile project yako ya kutengeza website kwanza. ukikamilisha hiyo basi hata hitonyenzo utapata urahisi wa kuzitumia. Sasa hivi ni sawa sawa upewe spanner ambapo huwei kujua inafungau bolt za tairi au engine.

Lakini unadhani hivyo vitambi vitakosa usingizi. Hapo ndo kwanza unakuwa umewaleta dili lingine watafute mtaalam Kutoka US waje arekebishe. teh teh teh
 
mtazamaji huwezi amini siku zote nilikuwa na-struggle na front page,
sasa hivi imeshakaa sawa,natengeneza link page halafu utaziona zimekaaje,
nataka nibadilishe career
 
mtazamaji huwezi amini siku zote nilikuwa na-struggle na front page,
sasa hivi imeshakaa sawa,natengeneza link page halafu utaziona zimekaaje,
nataka nibadilishe career

Rosmaarie paoa ila angalia kabla hujahawack mafisadi wakakuhack wewe na career yako. Maana sometime hata ukitoa maoni ya maana unaonekana Tishio sasa ukiwa hacker kweli si ndo watakuita gaidi. Teh teh teh .

But soory natoka nje ya mada hivi wewe ni she kama jina na avator ilivyo au ni he.?????? Maana kule kwenye siasa duh. Una hasira nao kweli Teh teh teh teh.
 
wananitafuta sana hawa,walinikimbiza facebook eti wanaijua familia yangu
sasa mchina anachukua facebook watashangaa watakimbilia wapi
nipo tayari kwa lolote lakini naangalia maisha yangu ya mbele
 
How To Hack Hotmail

Wanna to learn how to hack hotmail? This is complete step by step tutorial that explains how to hack hotmail with MessenPass, how to hack hotmail using Social Engineering method and how to hack hotmail using Sniper Spy.
1) How To Hack Hotmail With MessenPass
If you have physical access to computer that you want to hack then you should use free utility called MessenPass.
MessenPass can only be used to hack the passwords for the current logged-on user on your local computer. You cannot use this utility for grabbing the passwords of other users. I recommend you to read my previous article How To Hack Passwords Using USB where you’ll see how to hack passwords using usb , MessenPass, .bat scripts and others similar utilites.

Download MessenPass
2)How To Hack Hotmail Password Using Social Engineering Method
Social engineering is a term that describes a non-technical kind of intrusion that relies heavily on human interaction and often involves tricking and fooling other people to break normal security procedures. Let’s see example of hacking hotmail password with social engineering method.
1)Go to some forum and write new topic . In that topic you need trick other people to send you your hotmail password . how to hack into hotmail password is good topic title
2) In body of topic write following text
DISCLAMER: I do NOT take any responsibility for the content of this page. If you read this page with it’s methods of fetching hotmail or yahoo passwords you have agreed to take your own responsibility for any actions you may make. **Please note! Do not hack my account..
(we all do a little hacking:)) Follow four easy steps below to learn how to hack into Hotmal:
STEP 1- The first step in the process of hacking in to someone’s hotmail account is quite easy. You simply log into your own Hotmail account. Important Note : Your account should have been atleast 30 minutes old for this to work!!
STEP 2- Once you have logged into your own account, compose/write an e-mail to removed@domain…. This is the secret mailing address to the Hotmail Staff!! The automated server will (after recieving the information you will send them) will send you the password that you have ‘forgotten’
STEP 3- · In the subject line write “retrieve passwd” (CASE INTESIVE) and in the body of the e-mail write this exact code filling in your hotmail password and login, and the victim(whose password u want) of hacking’s login name. · its better to cut and paste the following two lines. The code is as follows:
form_pwd: login=WRITE VICTIMS LOGIN HERE sendto=YOUR-HOTMAIL-LOGIN+PASSWORD
**Please note! Do NOT Enter the victims email-address, just the login name** For example if I’d like to get my friends hotmail password (removed@domain…com) to my email (removed@dom…) (let’s say my password is “mypass”) I would write like this:
form_pwd: login=name sendto=name+mypass
This will fool the Hotmail or Yahoo or Gmail or AOL systems into thinking that you are a Administration staff and send u the password!!
STEP 4- All you have to do is wait for the hotmail staff to send you a mail containing the password! It normally takes 48hrs. Note that if the victim has accounts both in hotmail and yahoo then u will get both the passwords in two different mails.
The only thing you will be doing by following those steps is to send your password to the hacker.
3) How To Hack Hotmail Using Sniper Spy
SniperSpy is the industry leading Remote password hacking software combined with the Remote Install and Remote Viewing feature.Once installed on the remote PC(s) you wish, you only need to login to your own personal SniperSpy account to view activity logs of the remote PC’s! This means that you can view logs of the remote PC’s from anywhere in the world as long as you have internet access! Do you want to Spy on a Remote PC? Expose the truth behind the lies! Unlike the rest, SniperSpy allows you to remotely spy any PC like a television! Watch what happens on the screen LIVE! The only remote PC spy software with a SECURE control panel! This Remote PC Spy software also saves screenshots along with text logs of chats, websites,passwords, keystrokes in any language and more. Remotely view everything your child, employee or anyone does while they use your distant PC. Includes LIVE admin and control commands!

SniperSpy Features:
1. SniperSpy is remotely-deployable spy software
2. Invisibility Stealth Mode Option. Works in complete stealth mode. Undetectable!
3. Logs All Keystrokes

4. Records any Password (Email, Login, Instant Messenger etc.)

5. Remote Monitor Entire IM Conversations so that you can spy on IM activities too
6. Captures a full-size jpg picture of the active window however often you wish
7. Real Time Screen Viewer
8. Remotely reboot or shutdown the PC or choose to logoff the current Windows user
9. Completely Bypasses any Firewall
What if i dont have physical acess to victims computer?

No physical access to your remote PC is needed to install the spy software. Once installed you can view the screen LIVE and browse the file system from anywhere anytime. You can also view chats, websites, keystrokes in any language and more, with screenshots.
This software remotely installs to your computer through email. Unlike the other remote spy titles on the market, SniperSpy is fully and completely compatible with any firewall including Windows XP, Windows Vista and add-on firewalls.
The program then records user activities and sends the data to your online account. You login to your account SECURELY to view logs using your own password-protected login. You can access the LIVE control panel within your secure online account.

DOWNLOAD SNIPER SPY
 
Back
Top Bottom