Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
Nikimuangalia sura yake she is approaching 34 yrs old.
Amekula chumvi kiasi na hii inaonekana pale asipoweka mapoudaaz
Mwenzetu una kadi yake ya kiliniki?
Nikimuangalia sura yake she is approaching 34 yrs old.
Amekula chumvi kiasi na hii inaonekana pale asipoweka mapoudaaz
Mie tena nisimkumbuke Basila Mwanakuzi?? Miss Tanzania wa 1998
Jamani mimi mgeni, naomba mnieleweshe hiyo menopause ni nini na inapatikana umri gani? na ni kwa nini imekuwa maarufu sana siku hizi!? ni nini sifa au kero za Menopause?
Nikimuangalia sura yake she is approaching 34 yrs old.
Amekula chumvi kiasi na hii inaonekana pale asipoweka mapoudaaz
Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania kwenye mashindano ya dunia..
Sasa kama amezaliwa mwaka 1990 ina maana mwaka 2006 alikuwa na umri wa miaka 16 (under 18)... Ilikuwaje akaruhusiwa kushiriki haya mashindano na umri ule? Au yeye mwenyewe ndiye ameamua kujipunguzia miaka?
Hivi kwani kila mtu anahitaji kuzaa? au kuna lingine linalohusisha hiyo Menopause? nataka kujuwa madhara zaidi ya hii tamati ya kuzaa.The menopause marks the time in a woman's life when her menstruation stops and she is no longer fertile (able to become pregnant)
Umri Kuanzia Miaka 41-51,Inategemea nchi na nchi,Tanzania ni 45,India 41 na UK 51
Mwaka 2006 alikuwa na miaka 20, mwaka huu atakuwa na miaka 26.
Hizo birthday ni promo za kuvutia wanaume tuu ili wamuone bado kigori kumbe anakaribia menopause.
Ila amechoka mbaya, yaani hapo bado hajaolewa na bado hajazaa watoto.
Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania kwenye mashindano ya dunia..
Sasa kama amezaliwa mwaka 1990 ina maana mwaka 2006 alikuwa na umri wa miaka 16 (under 18)... Ilikuwaje akaruhusiwa kushiriki haya mashindano na umri ule? Au yeye mwenyewe ndiye ameamua kujipunguzia miaka?
test yao ni kwamba ikichoma ndani huyo ni over 18Akina lundenga wanahakikije umri wa hawa mabinti?
Usiiamini sana wikipedia. kwenye wikipedia mtu yeyote anaweza ku-edit au kubadili hizo info.Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28
Septemba, 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania
kwa mwaka wa 2006.
Maisha ya awali, elimu, na sanaa
Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya
watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza
elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika
shule moja tu iitwayo "Academic International"
iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam
Source wikipedia
test yao ni kwamba ikichoma ndani huyo ni over 18
Usiiamini sana wikipedia. kwenye wikipedia mtu yeyote anaweza ku-edit au kubadili hizo info.