How Old is Wema Sepetu?

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,511
11,271
Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania kwenye mashindano ya dunia..

Sasa kama amezaliwa mwaka 1990 ina maana mwaka 2006 alikuwa na umri wa miaka 16 (under 18)... Ilikuwaje akaruhusiwa kushiriki haya mashindano na umri ule? Au yeye mwenyewe ndiye ameamua kujipunguzia miaka?
 
Wewe, umri wa mwanamke saa zingine unagota. Usishangae nikikualika besdei ikiwa na miaka minus 3 hapo mwakani. Ni nature.
Kafufue lile gazeti letu la umbea, nna hamu ya kusutwa!
 
Mwaka 2006 alikuwa na miaka 20, mwaka huu atakuwa na miaka 26.

Hizo birthday ni promo za kuvutia wanaume tuu ili wamuone bado kigori kumbe anakaribia menopause.

Ila amechoka mbaya, yaani hapo bado hajaolewa na bado hajazaa watoto.
 
Inabidi afanye fasta apate mtoto m1 kwanza maana huyu menopause ataipata chini ya miaka 30
 
She's 22. Alisoma darasa moja na mdogo wangu ambaye wamezaliwa wote 1990.
Alidanganya umri, sababu ya urefu akakubalika.

Mwaka 2006 alikuwa na miaka 20, mwaka huu atakuwa na miaka 26.

Hizo birthday ni promo za kuvutia wanaume tuu ili wamuone bado kigori kumbe anakaribia menopause.

Ila amechoka mbaya, yaani hapo bado hajaolewa na bado hajazaa watoto.
 
Jamani wema ni muongo she is 26!me mwenyewe sitaki uzee nina miaka 18
 
She's 22. Alisoma darasa moja na mdogo wangu ambaye wamezaliwa wote 1990.
Alidanganya umri, sababu ya urefu akakubalika.
Kama mwaka 2006 alidanganya umri kuwa nimkubwa tukaamini, leo akitudanganya kuwa ni mdogo tutaamini kweli?
Ni kibibi kile, anakimbilia menopause yule.
 
Alikuwa aolewe na Diamond, lakini washikaji wakamshtua Diamond kwamba huyo dada ni kikongwe tena kimeo, hapo ndipo wakaanza kutosana.
 
Nikimuangalia sura yake she is approaching 34 yrs old.
Amekula chumvi kiasi na hii inaonekana pale asipoweka mapoudaaz
Umeona eeh!
Huyu ni mama aliyejichokea sana.
Hivi ajiulizi kwa nini kila mwanaume aliyewahi kuwa naye anakimbia?
 
Mhh kuna mtu alinambia shes 23.. Ila nakumbuka 2006 wkt wanashiriki jokate alikua na 19 which makes her 25 leo hii. Ina maana wema kwa jokate ni mdogo kiasi hicho???
 
Mwaka 2006 alikuwa na miaka 20, mwaka huu atakuwa na miaka 26.

Hizo birthday ni promo za kuvutia wanaume tuu ili wamuone bado kigori kumbe anakaribia menopause.

Ila amechoka mbaya, yaani hapo bado hajaolewa na bado hajazaa watoto.

Hata hiyo 20 wakati huo huenda aliishusha kidogo...
 
She's 22. Alisoma darasa moja na mdogo wangu ambaye wamezaliwa wote 1990.
Alidanganya umri, sababu ya urefu akakubalika.

Kuna uhusiano gani kati ya umri na urefu?...huyo mdogo wako alikiona cheti chake cha kuzaliwa?...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom