Mweh!!Mtoto alimwuliza mama yake:
Mtoto: "Mama uliponizaa ulipofungwa jela siku ngapi?"
Mama: Kwa nini?
Mtoto: Si ulisema uliponizaa ulijifungua?
Mtoto alimwuliza mama yake:
Mtoto: "Mama uliponizaa ulipofungwa jela siku ngapi?"
Mama: Kwa nini?
Mtoto: Si ulisema uliponizaa ulijifungua?
Dogo mmoja wakati kamuoma mamake ana mimba kamuuliza mama hivi mbona umefura tumbo? Mama kajibu huyu alie ndani ni ndugu yako..keshoye dogo alipoenda shule mwalim nae akamuuliza hivi dogo uko na nduguyo nyumbani? Dogo akajibu yupo lakini mama keshamla.