How many sex partners have you had?

mimi vitu used sipendi yaani hapo ilipo nadhani ni screper tu loh ............................??????????????????????hapana jamani

Panga hili limeongezewa makali kwa matumizi.
Mvinyo uliozeeka ndio mtamu.
Hebu nipe kidunchu.
OTIS.
 
I am 38 yrs.
Wife m1,

Catergory

1. Wanafunzi wa msingi
2. Majirani
3. Wanafuzi wa sekondari
4. Majirani
5. Wanafunzi - High school
6. Jeshini
7. College
8. Makazini kabla sijao
9. Majirani baada ya kuoa
10. Niliotembea nao nikisafiri kikazi
11. Ma bar maid
12. Ndugu wa mbali wa mke
13. Marafiki wa mke
14. Mademu wa washikaji
15. Zile za kuotea ukiwa disco
16. Zile za kuotea ukiwa misibani, maharusini na hafla mbali mbali
17. Unaokutana nao kwenye basi, ndege na vyombo vingine vya usafiri

Weka watano watano kila catergory
 
Jamani kiuhalisia sisi vijana wa siku hizi hakya nani tena tunaweza tukawa tumejaza YUTONG kama tutaamua kuwatafuta wapenzi wetu woooote wa tangu enzi za mwalimu...tatizo tunapenda kuonjaonja kila mahaliiii!!!! wengi humu wanaongea lakini sio wakweli..
 
I am 38 yrs.
Wife m1,

Catergory

1. Wanafunzi wa msingi
2. Majirani
3. Wanafuzi wa sekondari
4. Majirani
5. Wanafunzi - High school
6. Jeshini
7. College
8. Makazini kabla sijao
9. Majirani baada ya kuoa
10. Niliotembea nao nikisafiri kikazi
11. Ma bar maid
12. Ndugu wa mbali wa mke
13. Marafiki wa mke
14. Mademu wa washikaji
15. Zile za kuotea ukiwa disco
16. Zile za kuotea ukiwa misibani, maharusini na hafla mbali mbali
17. Unaokutana nao kwenye basi, ndege na vyombo vingine vya usafiri

Weka watano watano kila catergory

We kiboko, yaani 17 categories! Lakini thank God hujafikisha 100 una 86
 
wavulana nategemea zaidi ya hiyo idadi, jisifuni kwa ujinga wenu

wadada wote kimya, mnaogopa kuitwa malaya

lazima wakae kimya wanaogopa wtaonekana malaya mtaani mwanaume akiwa na wanawake wengi anitwa kidume mwanamke akibadilisha wanaume anaitwa malaya
 
naona wengine wanatoa idadi ya mara ambazo wamewahi ku do lol
kisha wengine wanahesabu hata zile za "mchezo wa kujificha" ;-) ;-) ;-)
 
Back
Top Bottom